Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

Suala hili tuliache kama lilivyoachwa na bunge kama wabunge wenyewe hawakulijadili licha ya kuundiwa kamati sisi ni nani hata tulijadili????!
Naamini sasa nilichoambiwa ni kweli kwamba BAVICHA ni weupe sana na hawawezi kuvumilia kwenye mijadala
 
Swali kwa mtoa mada, hilo eneo linalindwa na askari wenye silaha ilikuwaje watu wenye silaha kuruhusiwa kuingia eneo hilo tena KWA kupitia getini walipo askari.
2. TL kapigwa risasi kwa nyuma au ubavuni mwa paja.
Jibu hili kuna maswali mengine yaja.
 
Lakini mkuu unataka kusema Lissu alijipiga risasi mwenyewe? Mwenzetu kashapata ulemavu wa kudumu bila hatia sio sahihi kumjibu jibu kisiasa. Hata Mama Samia alikuwa ni miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kwenda kumtembelea hospitalini Nairobi. Nadhani tujikite kuhoji wale waliokuwa wanazuia hata maombi ya kumwombea Lissu walikuwa wana roho ya aina gani. Mtu kama Musiba alikuwa binadamu wa aina gani? Kuna Gambo aliyekuwa na roho mbaya kiasi cha kukamata watu waliokuwa wamejichanga wakatoe rambirambi kwenye msiba wa wanafunzi wa Lucky Vicent. Halafu kama Rais Samia majuzi kafichua vitendo vya watu kubambikizana kesi unadhani kwa wakati ule angejitokeza dereva wa Lissu nini kingempata? Tuwe na ubinadamu bhana.

Tumpinge tu Lissu kwa mambo yake ya kutetea ushoga kwa kudai ni mambo ya faragha. Kuhusu uonevu aliofanyiwa nasimama na Lissu.
 
Sawa tumemsikia eeh baada ya kufika hospital na gari la rehema nani alimpeleka Nairobi? Hiyo ndege ni maelekezo ya nani?

Wajumbe tuendelee kuanzia hapo!
Mwenyekiti Mbowe ili:-
1. kuficha ushahidi
2. kula hela za michango ya matibabu
3. kuichafua serikali kwamba imekataa kumtibia Lissu huku wakijua utaratibu wa matibabu ulikuwa umekiukwa
 
Anzisha huo uzi tutachangia mkuu
 
Nimeweza:
1. Kuonyesha kuwa Lissu siyo mkweli
2. Nimweza kuwaibua nyinyi mashuhuda a uongo wa Lissu
3. Sasa dunia inaelewa kuna kitu hakiko sawa
Haya Tundu Lisu hakupigwa lisasi, anajisingizia tu! Umefurahi ndg, unajua kuna mambo mengine kuna ushahabiki unapitiliza, mwenzako kawa kilema lakini wewe unapingana na uhalisia kwamba hakupigwa lisasi
 
Mie ninaamini tukio la tundu lissu limejaa usanii mwingi sana,lkn ninaamini kuna siku ukweli utajitenga na uongo, Smg!? Risasi 16?,
Tunaposema "Lissu ni muujiza unaoishi" unaelewa nini!!???
Ni shetani pekee au binadamu mwenye roho ya kishetani wanaoweza kuliita tukio la kupigwa risasi Lissu kama usanii.
 
Anzisha huo uzi tutachangia mkuu
Wewe mpumbavu hakuna mwanaCCM mwenye akili timamu anayefurahia binadamu mwingine kupigwa risasi hadharani. Sio sera za CCM hizo. Wale Sukuma Gang ndo walitaka kutuletea hayo mambo ila Mungu akazuia. Nitajie mwanasiasa mmoja tu nguli wa CCM aliyewahi kutoa kauli ya kipumbavu kuhusu kupigwa risasi Lissu?
 
Uzuri Tanzania sio ki Nchi Cha hovyo kama S Sudan, au Burundi kwa mfano. Tanzania ya Nyerere ni Nchi kubwa. Haiwezi kiyumbishwa kirahisi. Kikubwa tusema 'Never Again'!
 
Maswali ya kipumbavu hayo nenda ukamuulize mama yako mzazi...ameshamtaja aliyewatuma wamshambulie ni nani..
 
Tafuta ile CCTV video. Kila kitu kipo wazi
 
Maswali ya kipumbavu hayo nenda ukamuulize mama yako mzazi...ameshamtaja aliyewatuma wamshambulie ni nani..
Ungetumia akili kidogo ungeelewa kuwa tunachojadili si nani aliafanya nini ila maelezonyokanyoka ya Lissu kuhusu alivyoshambuliwa
 
Haihitajiki tume kufanya uchunguzi. Ni uchunguzi wa jinai, ambayo ni kazi ya Police na DPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…