Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Sijui kama maelezo yako kama ni sahihi. Siwezi kukubishia sana maana yawezekana wewe au mimi, mmojawapo akawa ama hakusikia sawasawa ila mimi kwa kumbukumbu yangu kutoka kwenye video clip niliyoisikiliza, ndivyo kumbukumbu yangu inavyonituma.sio kweli umekosea maelezo ya dereva nanukuu anasema dereva alifyatua kiti cha bosi wake na kukilaza ndo maana alipigwa miguuni tu na kwenye mapaja tu derefa akafungua mlango wake adodoka akaingia uvvunguni mwa gari gari yao au yajirani sijui
Vyovyote iwavyo, kama Serikali ingekuwa na nia ya kuchunguza tukio hilo, yangepatikana maelezo sahihi ya wahusika waku. Tungesikia maelezo ya dereva pamoja na ya watuhumiwa (Bashite, Kisandku, Kalmani, Zero, n.k.) mbele ya jaji, waandishi wa habari, wananchi na mawakili.
Jambo lililo jema, jinai haifi, kama si leo au kesho au keshokutwa, lakini vyovyote iwavyo, kuna siku habari nzima na ukweli wote namna mipango ilivyopangwa, ilivyotekelezwa, na hata baada ya tukio, tutayafahamu kwa uwazi. Lililo kuu na la kushukuriwa sana, ni kwamba Lisu pamoja na mateso yote, yupo hai. Hatakufa kwa risasi alizopanga muuaji, bali atakufa kwa mapenzi ya Mungu, siku atakayomwita.