Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

sio kweli umekosea maelezo ya dereva nanukuu anasema dereva alifyatua kiti cha bosi wake na kukilaza ndo maana alipigwa miguuni tu na kwenye mapaja tu derefa akafungua mlango wake adodoka akaingia uvvunguni mwa gari gari yao au yajirani sijui
Sijui kama maelezo yako kama ni sahihi. Siwezi kukubishia sana maana yawezekana wewe au mimi, mmojawapo akawa ama hakusikia sawasawa ila mimi kwa kumbukumbu yangu kutoka kwenye video clip niliyoisikiliza, ndivyo kumbukumbu yangu inavyonituma.

Vyovyote iwavyo, kama Serikali ingekuwa na nia ya kuchunguza tukio hilo, yangepatikana maelezo sahihi ya wahusika waku. Tungesikia maelezo ya dereva pamoja na ya watuhumiwa (Bashite, Kisandku, Kalmani, Zero, n.k.) mbele ya jaji, waandishi wa habari, wananchi na mawakili.

Jambo lililo jema, jinai haifi, kama si leo au kesho au keshokutwa, lakini vyovyote iwavyo, kuna siku habari nzima na ukweli wote namna mipango ilivyopangwa, ilivyotekelezwa, na hata baada ya tukio, tutayafahamu kwa uwazi. Lililo kuu na la kushukuriwa sana, ni kwamba Lisu pamoja na mateso yote, yupo hai. Hatakufa kwa risasi alizopanga muuaji, bali atakufa kwa mapenzi ya Mungu, siku atakayomwita.
 
Naungana na wewe. Katika kila chama kuna watu wema, wenye hekima na utu. Lakini kuna wahuni, wajinga na wengine wendawazimu wanaotaka kuifanya CCM ionekane imejaza majambazi na maharamia. Halafu haya majitu yenye roho mbaya ambayo yapo CCM yanakuwa na kimbelembele kama vile yenyewe ndiyo CCM.

Sijawahi kumsikia hata mwanaCCM mmoja mwenye busara akifurahia au kukejeli kushambulia kwa Lisu, zaidi ya hawa hayawani waliopo humu JF, Twiter na Fb.

Rais Samia, hata kabla hajawa Rais, akiwa makamu wa Rais, hakuwahi kukejeli badala yake alienda kumjulia hali Lisu bila ya kujali muuaji atamfanya nini. Hata wanaCCM high profiles ambao hawakwenda, hawakuwahi kukejeli, waliugulia ndani kwa ndani na kushangaa kiongozi wao mkuu wa chama alipofikia.
 
Shetani na wakwe zake huwa hawajibiwi! Hukemewa na kufukuzwa wakawaingie manguruwe.
tunasemaga...
I command you to leave in Jesus name!!!
 
Ficha upumbavu wako mbele za watu penda kukaa kimya kuwa msikilizaji na msomaji , akili yako haiwezi nyambua hata namna umepatikana utawezaje mambo makubwa Kama hayo
 
Unafanya makosa makubwa sana kudhani kila aliyeko humu ni kijana- mie siyo kijana
Akili yako ipo sawa sawa kweli? Unajua kusoma na kuelewa kilichoandikwa ? Em tuliza akili Soma Tena,
Ni wapi kaandika kuwa nchi nzima Ni vijana ?
 
Anazeeka vibaya
Nl
 
Ficha upumbavu wako mbele za watu penda kukaa kimya kuwa msikilizaji na msomaji , akili yako haiwezi nyambua hata namna umepatikana utawezaje mambo makubwa Kama hayo
“Be a free thinker and don’t accept everything you hear as truth. Be critical and evaluate what you believe in.”
— Aristotle
 
Mpaka ujuwe huu mchezo lazima kwanza uelewe nani alimteka mo? Achana na watendaji wa kazi nani alitoa amri akasingiziwa mwingine eti ndo kamtuma fulani? Nyiee nyamazeni tu kama hujui hujui.

Unajua mtu anakuumiza na msaada anatoa ili kupoteza ushahidi?

Tatizo humu wenye high thinking capacity ni wachache. Ila wamo wanao elewa hzi drama.
Mwenyekiti Mbowe ili:-
1. kuficha ushahidi
2. kula hela za michango ya matibabu
3. kuichafua serikali kwamba imekataa kumtibia Lissu huku wakijua utaratibu wa matibabu ulikuwa umekiukwa
Bado hujataja nilichokitegemea hapo hakuna jibu nadhani, anyway........
 
Usimsahau na Mambosasa, baada ya tukio hili akapanda kuwa Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar kama malipo
 
ivi mtu binafsi anaweza kumzuia mtu mwingine asitoe maelezo yake polisi tena kwenye kesi ya jinai?
ivi pakiwa na kesi nani huwa wakwanza kuchukuliwa maelezo? anakuwa shahidi kweli? mbona lisu mwenyewe yupo na hajachukuliwa hayo maelezo?
acheni unafiki nyie watu
 
Unafanya makosa makubwa sana kudhani kila aliyeko humu ni kijana- mie siyo kijana
Kamuulize kalimani akupe cctv zilizo ktk nyumba yake utaona Kama gari lilikua nyumba au ubavuni, shame on you.
 
Mie siyo wewe; wewe na yeye mko na akili moja ya kuchafua na kuendelea kuchafua watu
Ni nani anaechafuliwa labda hawezi kueleza,katuma chawa/kunguni wake wamsemee.
 
Kamuulize kalimani akupe cctv zilizo ktk nyumba yake utaona Kama gari lilikua nyumba au ubavuni, shame on you.
Unajifunza ukielewa uje
 
Watz hatuna desturi ya kuchunguza Mambo but Mimi naamini ukikaa na wakulungwa vizuri watakueleza kila kilichotokea by my side naamini uchunguzi ulishafanywa na wahusika wote wanajulikana ila viko makabatini kulinda maslai
Maslahi ya nani?
 
Miaka 7 imetimia...Ni moja ya miujiza iliyowahi kutokea duniani....Kupigwa risasi zaidi ya 38 na ku-survive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…