HECHE KAPEWA H/WORK AKAIFANYIE KAZI.
Tundu Lissu akimtania Heche mahakamani leo akimaanisa ana kipara hajaunga kampeni ya kudai haki kwa kutokunyoa nywele kama ambavyo wengine kina Boni Yai wamefanya kushinikiza Lissu kuachiwa kutoka gerezani anakoshikiliwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Tabasamu la nje huficha mambo mengi ya ndani.Mhaini ana tabasamu na furaha kuliko hata waliombambikizia kesi ya mchongo
Ulaji rushwa na wizi wa mali ya umma ufunua kiujazacho moyo wa mtuTabasamu la nje huficha mambo mengi ya ndani.
machoko nendeni mkatoe taarifa za waliofinance watu kuandamana kwenye genge lenu la mchongoTabasamu la nje huficha mambo mengi ya ndani.
OkUlaji rushwa na wizi wa mali ya umma ufunua kiujazacho moyo wa mtu
Kwenye hilo wala usihofu. Subiri Tume ya Jaji Lilla imalize kazi yake.machoko nendeni mkatoe taarifa za waliofinance watu kuandamana kwenye genge lenu la mchongo
Tundu ana Caliber ya ajabu Sana, hiki ni kipaji
Tundu Lissu akimtania Heche mahakamani leo akimaanisa ana kipara hajaunga kampeni ya kudai haki kwa kutokunyoa nywele kama ambavyo wengine kina Boni Yai wamefanya kushinikiza Lissu kuachiwa kutoka gerezani anakoshikiliwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Big BrainsHaaaaaaaaaaah akili kubwa
TUNDU LISSU ni Yusuf gerezani tunajua baada ya kutoka anaenda kuwa nani
.....Of course, wavuta bangi na wabwiya unga wakishakolea huwa akili zinabembea juujuu na zinamwona kabisa Tundu Lisu ni Rais.TUNDU LISSU ni Yusuf gerezani tunajua baada ya kutoka anaenda kuwa nani
nenda katoe ushahidi huko kwenye genge lenu la mchongo wewe nguruwe wa kizimkaziKwenye hilo wala usihofu. Subiri Tume ya Jaji Lilla imalize kazi yake.