Tundu Lissu: Heche unafanya KAZI nzuri iliyotukuka ila unakipara

Tundu Lissu: Heche unafanya KAZI nzuri iliyotukuka ila unakipara

.....Of course, wavuta bangi na wabwiya unga wakishakolea huwa akili zinabembea juujuu na zinamwona kabisa Tundu Lisu ni Rais.
Mpare mjinga kama wewe umetokea wapi? Mbona wapare tunajulikana Kwa kupenda haki? Hata historia ya makabila yote Tanganyika aliyoiandika mjerumani inaeleza wapare ni watu wa aina gani kwenye haki ndio maana tunaitwa wapenda kesi ila kimsingi ni wapenda haki mpumbavu kama wewe umbare wa hiyo?
 

Tundu Lissu akimtania Heche mahakamani leo akimaanisa ana kipara hajaunga kampeni ya kudai haki kwa kutokunyoa nywele kama ambavyo wengine kina Boni Yai wamefanya kushinikiza Lissu kuachiwa kutoka gerezani anakoshikiliwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Lissu jau sana kwa hiyo anataka wanachadema wote wawe nywele kama mwendawazimu? Asaiv Lissu na dotto magari huwezi kuwatofautisha na mwendawazimu na ndo anataka cdm wote wawe hivyo??
 
jimama lenu linawaza kwanini hii zahama ya lissu imeangukia kwenye wakati wake? kwanini haikuangukia wakati wa mkapa au jakaya? anajuta lisu kuwa popular hivi kwenye zama zake kwanza ccm inamfia pili anajiona yeye mwanamke kupambana na mtu kama lisu bila kuwa backed na dola haiwezekani anaona nyakati zinamuonea.
 
Back
Top Bottom