Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, huku ni kutafuta wadhamini au ni kampeni?

Mbona wapo chadema huko huko, mnatekana halafu mnaiwakia serikali. Unamjua huyu?
 
Zile nyimbo shamba la bibi ilikuwa ni mini?
 
Mbona wapo chadema huko huko, mnatekana halafu mnaiwakia serikali. Unamjua huyu?
Yaaani source tu ya hiyo Habari inaonesha imeandaliwa na kitengo cha propaganda cha Mataga!!
 
Mkateni kinuke. Mbona Jiwe miaka 5 kafanya kampeni peke yake? Mpaka na matamasha kabisa ya kumnadi. Afterall bado Lissu hajapitishwa kuwa mgombea wa Urais hivyo hiyo sio kampeni usihofu.
Hakiwezi kunuka mkuu, watu wenyewe waogaaa, kelele tu nyuma ya keyboard
 
NEC Hawakuweka muongozo wa namna gani mgombea atakutana na watu wa kumdhamini.Kwahiyo LISU yuko sawa mno.
Kunauwezekano kuna mahali atakuwa ameingia kingi yule, so why wengine hawafanyi hivyo?
 
Polee mwana Lumumba! Jikaze tu kisabuni, huyo ndo Lissu. Hoja zake lazima mpoteane. Jikaze tu kasema hatorudisha kisasi akichukua nchi hapo October mwaka huuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kuchukua nchi yule? Acha basi kuchekesha mkuu
 
Hakiwezi kunuka mkuu, watu wenyewe waogaaa, kelele tu nyuma ya keyboard
Wee hii Tanzania bana, watu hawawezi kufuata ujinga kama ule, kayakoroga mwenyewe, acha ayanywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…