Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Hajaanza kwani mmeshachoka tayari mapema hii?Anakusanya watu na kuelezea sera zake kwa kisingizio cha kwamba a natafuta wadhamini. Angefanya Magufuli si ingekuwa kelele dunia nzima ingejua.
Tuseme basi inaruhusiwa kufanya afanyacho unapotafuta wadhamini. Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wadhamini wanatakiwa kutoka mikoa 10 nchi nzima, ikijumuisha miwili ya zanzibar, sasa mbona huku bara kashaenda zaidi ya 10 kama sio kampeni ni nini?
Nafikiri kwa jinsi anavyopiga kelele kuhusu sheria, yeye kama mtaaluma wa sheria angekuwa wa kwanza kutii na kufuata taratibu na sheria.
Ili mtu aweze kukubali kukudhamini ni lazima umshawishi kwa hoja na kumpa assurance ya udhamini wakeAnakusanya watu na kuelezea sera zake kwa kisingizio cha kwamba a natafuta wadhamini. Angefanya Magufuli si ingekuwa kelele dunia nzima ingejua.
Tuseme basi inaruhusiwa kufanya afanyacho unapotafuta wadhamini. Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wadhamini wanatakiwa kutoka mikoa 10 nchi nzima, ikijumuisha miwili ya zanzibar, sasa mbona huku bara kashaenda zaidi ya 10 kama sio kampeni ni nini?
Nafikiri kwa jinsi anavyopiga kelele kuhusu sheria, yeye kama mtaaluma wa sheria angekuwa wa kwanza kutii na kufuata taratibu na sheria.
Lissu kwa sasa anatafuta wadhamini, na huwezi kupata wadhamini wakutosha kama hujafika kwa wananchi wakuone na kukusikiliza kile kinachokufanya utake kugombea.
Kuhusu watu wengi kukusanyika wakati akitafuta wadhamini, nadhani hilo swali waulizwe watu wenyewe.
Tatizo la hawa jamaa ni makelele, aking'olewa na NEC aje kulia lia hapa JFAnakusanya watu na kuelezea sera zake kwa kisingizio cha kwamba anatafuta wadhamini. Angefanya Magufuli si ingekuwa kelele dunia nzima ingejua.
Tuseme basi inaruhusiwa kufanya afanyacho unapotafuta wadhamini. Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi wadhamini wanatakiwa kutoka mikoa 10 nchi nzima, ikijumuisha miwili ya zanzibar, sasa mbona huku bara kashaenda zaidi ya 10 kama sio kampeni ni nini?
Nafikiri kwa jinsi anavyopiga kelele kuhusu sheria, yeye kama mtaaluma wa sheria angekuwa wa kwanza kutii na kufuata taratibu na sheria.
Akatwe tukate vichwaWe jitoe ufahamu, atakatwa yule, amejifanya much know, kawaingiza chaka nguli wa sheria, katoa bonge la boko
Naunga mkono akatwe fasta. maana kumkata Tundu Lissu ndo salama yetu. Bila hivyo CCM hatutoboi!Tundu Lissu ni mwanasheria na ameshaichambua hio sentesi ya kusema ni kampeni. Kampeni bado hazijaanza unawewaje kusema ni kusema ni kampeni? Labda hawajui tofauti ya Kampeni na kutafuta wadhamini.
Ulimuona mgombea pale akinadi sera jukwaani?Nyie si mmefanya tamasha pale uwanja wa mkapa, tena na leo wale watoza sadaka waliitisha kongamano la kumpongeza mgombea wenu au?
Mbona mnawashwawashwa sana na Lissu?
Aione mtoa madasio mikoa 10 bara na 2 znz bali ni mikoa isiyopungua 10 bara na 2 znz, zingatia isiyopungua