Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nae kichwani una kitu umeongea pumba. Akisema kuangalia anamaanisha ili liwe jimbo la uchaguzi idadi inaanza mfanoKwa hili nampinga Lissu, uwakilishi ni zaidi ya idadi ya watu. Ukisema tu tuangalie idadi kuna jamii na maeneo yatakosa uwakilishi kabisa.
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu akiangalia mgawanyo wa majimbo yenye watu wengi zaidi anagundua kuwa haiwakilishi na idadi inayostahili ya wabunge. Wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam Mwanzo
Mfano mkoa wa Dar es Salaam ulitakiwa kuwa na wabunge wasiopungua 25. Lakini una wabunge wachache sana wakati ina idadi kubwa ya wapiga kura .
Mkoa wa Lindi yenye wabunge 9 huku idadi ya wapiga kura ni ndogo sana. Mkoa wa Tabora ina idadi ndogo ya wapiga kura lakini ina wabunge wa kuchaguliwa 12 huku mkoa wa Tanga wenye idadi ndogo pia ya watu ina wabunge 12. Mikoa hii iliyotajwa kama mfano wa uwiano usiolingana baina ya idadi ya wapiga kura na wingi wa wabunge pia ni maeneo yaliyo ngome ya CCM.
Na kwa hiyo mgawanyo wa majimbo umeiba uchaguzi kwa kutumia mifumo ya kikatiba na kitaasisi kwa maana Tume ya Uchaguzi ni ya rais na mwenye mamlaka ya kutengeneza mikoa ni rais na mteuzi wa viongozi wa Tume ya Uchaguzi ni rais pia. Orodha ya Jumla ya majimbo ya uchaguzi kwa kufuata na tovuti ya bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni majimbo 273 : source : Parliament of Tanzania
Huko nchini Kenya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Majimbo ya Uchaguzi yaani IEBC ndiyo yenye mamlaka ya kutengeneza mipaka ya majimbo ktk Kenya yote inayotumia formula ya idadi ya watu ktk sehemu ndiyo itatoa mwangaza kutakuwepo wabunge wangapi. Sababu ni kuwa nchini Kenya demokrasia inaangazia kuwa wabunge wanawakilisha watu kwa kura na siyo eneo.
Tofauti na Tanzania ambapo ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC haina nguvu kikatiba kutengeneza majimbo kwa kufuatana na idadi ya wapiga kura.
Mfumo huo wa kuangalia eneo hata kama lina wapiga kura wachache na kuwapatia idadi kubwa ya wabunge huku mikoa kama Dar es Salaam, Mwanza yenye idadi kubwa ya wapiga kura inapewa wabunge wachache sana.
Sababu ni kuwa imeonekana maeneo yenye watu wengi ambao ni wapiga kura huwa wana tabia au mazoea ya kuchagua wapinzani hivyo kwa Tanzania wengi hao wanapewa wabunge wachache ili kudhibiti idadi ya wabunge wa upinzani wanaoweza kuchaguliwa . Parliament of Tanzania
Wawakilishi wa waangalizi wa chaguzi toka ndani na nje wameona mapungufu haya ya kuwa kuna maeneo yana wapiga kura wachache sana lakini ina wabunge wengi, huku kuna maeneo yenye wapiga kura wengi inawakilishwa na wabunge wachache sana na hii Indonesia kukosekana uwiano kati ya idadi ya wabunge na wapiga kura wao.
Source : Forbs Media
Kwa formula ya tundulisu Kinondoni Wabunge 10, Temeke 15, Ilala 9, Ubungo 11, na Zanzibar yote wabunge 3. Ingiza Shinyanga na Geita na Mwanza na Mtwara na Tabora na,Dodoma, una jumla ya Wabunge wote itakuwa 900, too big kwa vile Warioba alisema wasizidi 75...hakuna mgawanyo wa haki, wenye uwazi, na unaoeleweka, wa majimbo ya uchaguzi.
..Lissu ametolea mfano kasoro moja tu inayohusu idadi ya watu ktk mgawanyo wa majimbo, lakini haimaanishi kwamba hana hoja nyingine.
..Umetoa mfano mzuri kuhusu mkoa wa Morogoro kuwa ni mkubwa sana.
..Lissu pia amezungumzia Morogoro kutokutendewa haki ktk uwakilishi, ukiilinganisha na mkoa kama Lindi.
Kwa formula ya tundulisu Kinondoni Wabunge 10, Temeke 15, Ilala 9, Ubungo 11, na Zanzibar yote wabunge 3. Ingiza Shinyanga na Geita na Mwanza na Mtwara na Tabora na,Dodoma, una jumla ya Wabunge wote itakuwa 900, too big kwa vile Warioba alisema wasizidi 75.
Ili kuendana Warioba cha ni kungeza idadi ya wawakilishwa kupunguza idadi ya Wabunge hadi 75 maximum. Hii itatupa Wabunge 4 Kinondoni 6 Temeke etc etc. SMZ yote haitotosha kuwa na Wabunge wake: itabidi Unguja iwakilishwe na Jimbo la Ilala na Pemba imezwe ndani ya Jimbo la Tanga. Muungano saa hiyo tiyari ushavunjika. Kwa nini Watanzania leo tunataka kuonjeshwa simu? Wenzetu Mbowe na Tundu Lissu watoto wao na wake zao wako Marekani ni raia wa huko.