Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Uchuguzi mpaka usubiri CHADEMA na wanaharakati washinikize? polisi siku hizi wanafanya kazi kwa mashinikizo na siyo taratibu na sheria?
 
Mmoja kashalipa bado, Mwigulu, Ndugai, Siro na Makonda
 
Angekuwa Mwenda zake!
 
Moja wapo ni wewe uliyeshiriki hilo tukio
 
..wale wa dodoma hospital walikuwa hawajajipanga.

..wa huku d'salaam wangekuwa wana maelekezo kutoka juu.
Kwaiyo hawezi kumpanga katibu mkuu aliyeteua? Tukio lifanyike Dodoma si alikuwa anajua direct kuwa kuna kituo cha kwanza then chapili na cha tatu?
 
Ichunguze akili yako ndugu.
Vipi Kama angekufa au angepata coma
Nani angetoa ushirikiano?
Hivi wengine mioyo ya kibinadamu mlipeleka wapi?.
 
Huyu mhuni akinywaga pombe za msaada anakurupuka sana kutafuta public sympathy
 
Anachoshangaza Lisu ni kuwa hata huyu Rais aliyepo sasa bado anamtukana, then mtu unaweza kujiuliza dhamira yake ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…