1. Unazuia makanisa na misikiti wasimuombeeMtu anakwambia anafatiliwa wewe unapuuza
Walinzi wanaondolewa kwenye makazi yake alafu anapigwa risasi eneo ilo ilo..
Aliyetaka kumuua funza zinamalizia pumbu ya mwisho! sehemu zingine amekuwa udongo!nani alitaka kumuua huyo pimbi wenu? hakuwa na nguvu yoyote ya kuipa wasiwasi nchi hii alikuwa anaogopa kivuli chake tu anakimbia hov=yo
Kama mnazipenda hizo ngonjera zake, mwambieni alejeee nchinii.Sema nimezichoka na siyo tumezichoka, wewe na nani?
Hivi yule dactari wake ameshampa ruhusa ya kutoka inje na uberigiji. Au ni kiki zake kama kawaidaHataishi huko milele maana Tanzania ni nchi yake, na ana haki zote kama raia mwingine wowote.
Udhalimu lazima usemwe na uwekwe kwenye kumbukumbu za nchi yetu ili iwe fundisho kwetu na vizazi vijavyo.
Bado hawajaanza malipo hapa duniani?Mtu anakwambia anafatiliwa wewe unapuuza
Walinzi wanaondolewa kwenye makazi yake alafu anapigwa risasi eneo ilo ilo.
Baada ya tukio CCTV zinaondolewa kwenye eneo la tukio
Badae baadhi ya wema serikalini waungwana wanamshauri Mbowe wampeleke nje
Unazuia makanisa na misikiti wasimuombee
Unapiga marufuku watu wasivae tisheti zake zilizoandikwa pray for lissu.
Ananyimwa pesa ya matibabu bila sababu
Anazuiliwa pesa zake za ubunge
Anavuliwa ubunge kinyume cha sheria
Anarudi kugombea urais anaibiwa kura na anataka kuuwawa tena baadhi ya vigogo serikalini wanamshauri kuondoka nchini!
Huyu mtu utasema hataki uchunguzi wa shambulio lake?
Kwanini uchunguzi usianzie kwenye walioondoa walinzi na CCTV?
Magufuli, Ndungai na Siro mtalipa huu uhuni!!
Wewe ulimpeleka huyo tundu kulipoti?Sijawahi kuona aigipii mnafiki namna hii
Huyu angevua tu hayo magwanda yake aingie siasani
MkuuWewe ulimpeleka huyo tundu kulipoti?
Huo ushahidi wa kupigiwa simu na IGP ukihitajika TCRA wanaweza kutoa. IGP mwenyewe anafanya mzaha tu. Tukio kubwa hivi polisi wanatoa majibu mepesi kiasi hiki? Nchi hii imeharibikiwa sana. Bahati mbaya kuna watu wanajidanganya kuwa nchi ikiharibikiwa hivi wao wanafaidika! Wasubiri waone. Si tunakumbuka yule aliyekuwa mshauri wa Baba wa Taifa aliyeporwa 100m/= na vyombo vya usalama? Ni nani atakuwa salama nchi ikiharibikiwa? Polisi kama kweli walihitaji kumhoji Lissu wangetumia njia mbalimbali kumpelekea wito.; sms, barua, tangazo maalum, nk. Nadhani huu ukurasa ungefungwa tu hadi akili zitakapoturejea tena! Hawakutaka kwa sababu hakuna upelelezi unaofanyika.Jamaa anajua hatuwezi kupata ushahidi kuhusiana na hiyo simu aliyopigiwa hivyo anacheza na akili zetu tu.
Kwaiyo hawezi kumpanga katibu mkuu aliyeteua? Tukio lifanyike Dodoma si alikuwa anajua direct kuwa kuna kituo cha kwanza then chapili na cha tatu?
Awamu ya tano ilisheheni viongozi wenye iq ndogo sana kinara akiwa ni mwendakuzimuMwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata.
Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote.
Soma >IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja
====
IGP Sirro ni mwongo asiyefaa kuvaa sare ya Jeshi la Polisi, let alone kuwa Mkuu wake. For the record:
1) Hajawahi kunipigia simu au kuniita kwenye mahojiano yoyote.
2) Nikiwa Nairobi Hospital niliambiwa polisi watakuja kunihoji hospitalini. Niliwasubiri lakini hawakuonekana.
3) Polisi hawajahoji mtu yeyote wala kutoa taarifa yoyote juu ya uchunguzi wao, zaidi ya kudai wahusika ni watu wasiojulikana na hakuna hata mtu wanayemshuku.
4) Polisi walisema wana footage ya CCTV camera iliyokuwa kwenye jengo nilikoshambuliwa. Hadi leo wako kimya juu ya hilo.
5) Polisi hawajawahi kusema ni nani aliyeondoa walinzi wote kwenye makazi ya viongozi wa serikali ili kuwaruhusu wauaji waingie ndani na kunishambulia kwa risasi.
6) Nilisema hadharani kwamba nilikuwa nafuatiliwa kwa gari na watu waliotumwa na IGP Sirro na Mkuu wa TISS Kipilimba.
Niliwataja IGP Sirro na DG-TISS Kipilimba specifically na kuwataka waingilie kati, na nilitaja gari iliyokuwainanifuata fuata. Majibu yalitolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba aliyepuuza taarifa yangu na kudai gari iliyokuwa inanifuata fuata iko Arusha, sio Dar.
Baada ya shambulio, Jeshi la Polisi lilifanya jitihada kubwa kuzuia wananchi kunipa msaada wowote. Waliojaribu kuniombea makanisani na misikitini walipigwa marufuku. Waliojaribu kujitolea damu walikatazwa. Waliovaa Tshirt zenye picha yangu walikamatwa na kuwekwa mahabusu.
6) Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, chini ya Mwenyekiti wake Balozi Adadi Rajabu (DCI mstaafu), ilifanya uchunguzi wa shambulio dhidi yangu na kuandaa taarifa rasmi. Taarifa hiyo ilizimwa na uongozi wa Bunge masaa machache kabla ya kuwasilishwa rasmi bungeni. Kwa nini?
7) Nilinyimwa haki ya kutibiwa kwa fedha za Bunge kama sheria inavyotaka. Baadae Katibu wa Bunge aliniandikia barua kwamba Rais Magufuli hakutoa idhini ya matibabu hayo.
8) Ni Magufuli aliyesema, saa 2 kabla sijashambuliwa, kuwa wanaopinga vita yake ya uchumi hawastahili kuishi!
9) Mwaka jana nilienda Polisi Dodoma kudai gari yangu ambayo iko polisi tangu niliposhambuliwa. Jibu la RPC Muroto lilikuwa sitapewa gari yangu mpaka nitakapohojiwa juu ya shambulio. Lakini polisi hawakuwa na interest ya kunihoji zaidi ya kupiga mabomu mikutano yangu ya hadhara.
10) Nilikimbia nchi baada ya kupata taarifa kuwa Rais Magufuli alikuwa ametoa amri kwa 'watu wasiojulikana' kuwa niuawe mara baada ya uchaguzi. Nilikamatiwa na polisi wa IGP Sirro nje ya Ubalozi wa Ujerumani na isingekuwa wanadiplomasia wa Kijerumani kuingilia kati ningepotezwa.
IGP Sirro anasema sistahili kupewa ulinzi wowote kwa sababu mimi ni Mtanzania sawa na Watanzania wengine. Lakini sio Watanzania wote waliowahi kushambuliwa kwa risasi 16 wala kutendewa kama nilivyotendewa mimi. Majibu yake ni utetezi wa wauaji wasiojulikana na wale waliowatuma!
View attachment 1849851
Ngonjera hii ilishakinai!!!Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata.

Lisu anahangaika sana ..na ataendelea hangaika maisha yake yoteMwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata.

Umesoma vizuri maelezo ya Lissu? Pale kwa kamanda Mroto Dodoma, eneo ambalo pia ndio alikopigwa risasi sio police pale??? Ilishindikana nini kumuhoji mtu ambaye kajileta mwenyewe? Nadhani kuna mengine hata kama tunataka kutetea basi tukae kimya tu, ni aibu sana kwa mtu mzima kudanganya; jamani, kuna Mungu pia, tukumbuke hilo. Yuko wapi aliyeagiza jamaa asipewe pesa za matibabu? Yuko wapi mtu aliye agiza jamaa anyang'anywe ubunge? Yuko wapi.....!? Tumuogope Mungu, maisha tumepewa kama rehani tu, mwenyewe anaweza kuyataka muda wowote, tuache KIBURI.na ndio akili za lissu anapenda league kila sehemu,hapo anategemea kujibiwa .
ila haitawezekana.
mara kadhaa sirro amekiri wazi kumtafuta dereva kwa ajiri ya upelelezi lakini hatoi ushirikiano,ni ajabu kama angekuwa hakuwahi kiwasiliana na mhusika.
Jamani, hebu tuweni wakweli; kwani nani kaanzisha hizo story za Lissu? Angekaa kimya tungeamini kwamba yeye ndio hataki kuhojiwa police, kajibu baada ya kuchokozwa then tunamlaumu, mbona tuko wanafiki hivi? Khaa.Kama mnazipenda hizo ngonjera zake, mwambieni alejeee nchinii.
Hahahaa nimecheka sanaIGP Siro asingekuwa polisi angekuwa tapeli.
Hujawahi kuona IGP at all. Mie ningekuwa wewe ningejiukiza maswali kadhaa. Mosi, tundu alienda lunch, kawaida, kama siku zote. Iweje wauaji siku hiyo wajue kuwa CCTV inezimwa au walinzi hawapo?Sijawahi kuona aigipii mnafiki namna hii
Huyu angevua tu hayo magwanda yake aingie siasani
Umesoma vizuri maelezo ya Lissu? Pale kwa kamanda Mroto Dodoma, eneo ambalo pia ndio alikopigwa risasi sio police pale??? Ilishindikana nini kumuhoji mtu ambaye kajileta mwenyewe? Nadhani kuna mengine hata kama tunataka kutetea basi tukae kimya tu, ni aibu sana kwa mtu mzima kudanganya; jamani, kuna Mungu pia, tukumbuke hilo. Yuko wapi aliyeagiza jamaa asipewe pesa za matibabu? Yuko wapi mtu aliye agiza jamaa anyang'anywe ubunge? Yuko wapi.....!? Tumuogope Mungu, maisha tumepewa kama rehani tu, mwenyewe anaweza kuyataka muda wowote, tuache KIBURI.