Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Hivi waliomshambulia Lissu kwa nini tu wasijitokeze kwenye TV na kukiri hadharani kuwa ndio walioshindwa kumuua Lissu,nina uhakika hawatachukuliwa hatua yoyote na yeyeyote maana kama IGP mwenyewe ndio huyo Sirro kichaa
 
Mtu anakwambia anafatiliwa wewe unapuuza

Walinzi wanaondolewa kwenye makazi yake alafu anapigwa risasi eneo ilo ilo..
1. Unazuia makanisa na misikiti wasimuombee

2. Unapiga marufuku watu wasivae tisheti zake zilizoandikwa pray for lissu.

3. Ananyimwa pesa ya matibabu bila sababu

4. Anazuiliwa pesa zake za ubunge

Sababu ya kwanza ndiyo iliyofanya muumba alingoe jiwe la kishetani.
Bado JOBO hana round.
 
nani alitaka kumuua huyo pimbi wenu? hakuwa na nguvu yoyote ya kuipa wasiwasi nchi hii alikuwa anaogopa kivuli chake tu anakimbia hov=yo
Aliyetaka kumuua funza zinamalizia pumbu ya mwisho! sehemu zingine amekuwa udongo!
 
Hataishi huko milele maana Tanzania ni nchi yake, na ana haki zote kama raia mwingine wowote.

Udhalimu lazima usemwe na uwekwe kwenye kumbukumbu za nchi yetu ili iwe fundisho kwetu na vizazi vijavyo.
Hivi yule dactari wake ameshampa ruhusa ya kutoka inje na uberigiji. Au ni kiki zake kama kawaida
 
mmoja ka
Mtu anakwambia anafatiliwa wewe unapuuza

Walinzi wanaondolewa kwenye makazi yake alafu anapigwa risasi eneo ilo ilo.

Baada ya tukio CCTV zinaondolewa kwenye eneo la tukio

Badae baadhi ya wema serikalini waungwana wanamshauri Mbowe wampeleke nje

Unazuia makanisa na misikiti wasimuombee

Unapiga marufuku watu wasivae tisheti zake zilizoandikwa pray for lissu.

Ananyimwa pesa ya matibabu bila sababu

Anazuiliwa pesa zake za ubunge

Anavuliwa ubunge kinyume cha sheria

Anarudi kugombea urais anaibiwa kura na anataka kuuwawa tena baadhi ya vigogo serikalini wanamshauri kuondoka nchini!

Huyu mtu utasema hataki uchunguzi wa shambulio lake?

Kwanini uchunguzi usianzie kwenye walioondoa walinzi na CCTV?

Magufuli, Ndungai na Siro mtalipa huu uhuni!!
Bado hawajaanza malipo hapa duniani?
 
Jamaa anajua hatuwezi kupata ushahidi kuhusiana na hiyo simu aliyopigiwa hivyo anacheza na akili zetu tu.
Huo ushahidi wa kupigiwa simu na IGP ukihitajika TCRA wanaweza kutoa. IGP mwenyewe anafanya mzaha tu. Tukio kubwa hivi polisi wanatoa majibu mepesi kiasi hiki? Nchi hii imeharibikiwa sana. Bahati mbaya kuna watu wanajidanganya kuwa nchi ikiharibikiwa hivi wao wanafaidika! Wasubiri waone. Si tunakumbuka yule aliyekuwa mshauri wa Baba wa Taifa aliyeporwa 100m/= na vyombo vya usalama? Ni nani atakuwa salama nchi ikiharibikiwa? Polisi kama kweli walihitaji kumhoji Lissu wangetumia njia mbalimbali kumpelekea wito.; sms, barua, tangazo maalum, nk. Nadhani huu ukurasa ungefungwa tu hadi akili zitakapoturejea tena! Hawakutaka kwa sababu hakuna upelelezi unaofanyika.
 
Kwaiyo hawezi kumpanga katibu mkuu aliyeteua? Tukio lifanyike Dodoma si alikuwa anajua direct kuwa kuna kituo cha kwanza then chapili na cha tatu?

..kwa idadi ya marisasi waliyomtwanga walijua Lissu hatatoka salama.

..wao walipanga biashara imalizike palepale area D eneo walipomshambulia na walijua wamefanikiwa.

..nyumbu peke yao ndio walikuwa wakiomba na kuamini Lissu ata-survive. Si unajua akili za nyumbu zilivyo?
 
Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata.

Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote.

Soma >IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja
====

IGP Sirro ni mwongo asiyefaa kuvaa sare ya Jeshi la Polisi, let alone kuwa Mkuu wake. For the record:

1) Hajawahi kunipigia simu au kuniita kwenye mahojiano yoyote.

2) Nikiwa Nairobi Hospital niliambiwa polisi watakuja kunihoji hospitalini. Niliwasubiri lakini hawakuonekana.

3) Polisi hawajahoji mtu yeyote wala kutoa taarifa yoyote juu ya uchunguzi wao, zaidi ya kudai wahusika ni watu wasiojulikana na hakuna hata mtu wanayemshuku.

4) Polisi walisema wana footage ya CCTV camera iliyokuwa kwenye jengo nilikoshambuliwa. Hadi leo wako kimya juu ya hilo.

5) Polisi hawajawahi kusema ni nani aliyeondoa walinzi wote kwenye makazi ya viongozi wa serikali ili kuwaruhusu wauaji waingie ndani na kunishambulia kwa risasi.

6) Nilisema hadharani kwamba nilikuwa nafuatiliwa kwa gari na watu waliotumwa na IGP Sirro na Mkuu wa TISS Kipilimba.

Niliwataja IGP Sirro na DG-TISS Kipilimba specifically na kuwataka waingilie kati, na nilitaja gari iliyokuwainanifuata fuata. Majibu yalitolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba aliyepuuza taarifa yangu na kudai gari iliyokuwa inanifuata fuata iko Arusha, sio Dar.

Baada ya shambulio, Jeshi la Polisi lilifanya jitihada kubwa kuzuia wananchi kunipa msaada wowote. Waliojaribu kuniombea makanisani na misikitini walipigwa marufuku. Waliojaribu kujitolea damu walikatazwa. Waliovaa Tshirt zenye picha yangu walikamatwa na kuwekwa mahabusu.

6) Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, chini ya Mwenyekiti wake Balozi Adadi Rajabu (DCI mstaafu), ilifanya uchunguzi wa shambulio dhidi yangu na kuandaa taarifa rasmi. Taarifa hiyo ilizimwa na uongozi wa Bunge masaa machache kabla ya kuwasilishwa rasmi bungeni. Kwa nini?

7) Nilinyimwa haki ya kutibiwa kwa fedha za Bunge kama sheria inavyotaka. Baadae Katibu wa Bunge aliniandikia barua kwamba Rais Magufuli hakutoa idhini ya matibabu hayo.

8) Ni Magufuli aliyesema, saa 2 kabla sijashambuliwa, kuwa wanaopinga vita yake ya uchumi hawastahili kuishi!

9) Mwaka jana nilienda Polisi Dodoma kudai gari yangu ambayo iko polisi tangu niliposhambuliwa. Jibu la RPC Muroto lilikuwa sitapewa gari yangu mpaka nitakapohojiwa juu ya shambulio. Lakini polisi hawakuwa na interest ya kunihoji zaidi ya kupiga mabomu mikutano yangu ya hadhara.

10) Nilikimbia nchi baada ya kupata taarifa kuwa Rais Magufuli alikuwa ametoa amri kwa 'watu wasiojulikana' kuwa niuawe mara baada ya uchaguzi. Nilikamatiwa na polisi wa IGP Sirro nje ya Ubalozi wa Ujerumani na isingekuwa wanadiplomasia wa Kijerumani kuingilia kati ningepotezwa.

IGP Sirro anasema sistahili kupewa ulinzi wowote kwa sababu mimi ni Mtanzania sawa na Watanzania wengine. Lakini sio Watanzania wote waliowahi kushambuliwa kwa risasi 16 wala kutendewa kama nilivyotendewa mimi. Majibu yake ni utetezi wa wauaji wasiojulikana na wale waliowatuma!
View attachment 1849851
Awamu ya tano ilisheheni viongozi wenye iq ndogo sana kinara akiwa ni mwendakuzimu
 
Ngonjera hii ilishakinai!!!
 
Lisu anahangaika sana ..na ataendelea hangaika maisha yake yote

Tatizo ni ushujaa.anataka kuwa shujaa na bingwa kwenye kila kitu...sasa dunia hii haijawai kuwa na mtu kama huyo aka survive..kuna eneo laazima uufyate mkia ..
Sasa ye anapambanaaa tuu..maisha yake aliyochagua ni hayo...haya buana lisu
 
na ndio akili za lissu anapenda league kila sehemu,hapo anategemea kujibiwa .
ila haitawezekana.

mara kadhaa sirro amekiri wazi kumtafuta dereva kwa ajiri ya upelelezi lakini hatoi ushirikiano,ni ajabu kama angekuwa hakuwahi kiwasiliana na mhusika.
Umesoma vizuri maelezo ya Lissu? Pale kwa kamanda Mroto Dodoma, eneo ambalo pia ndio alikopigwa risasi sio police pale??? Ilishindikana nini kumuhoji mtu ambaye kajileta mwenyewe? Nadhani kuna mengine hata kama tunataka kutetea basi tukae kimya tu, ni aibu sana kwa mtu mzima kudanganya; jamani, kuna Mungu pia, tukumbuke hilo. Yuko wapi aliyeagiza jamaa asipewe pesa za matibabu? Yuko wapi mtu aliye agiza jamaa anyang'anywe ubunge? Yuko wapi.....!? Tumuogope Mungu, maisha tumepewa kama rehani tu, mwenyewe anaweza kuyataka muda wowote, tuache KIBURI.
 
Kama mnazipenda hizo ngonjera zake, mwambieni alejeee nchinii.
Jamani, hebu tuweni wakweli; kwani nani kaanzisha hizo story za Lissu? Angekaa kimya tungeamini kwamba yeye ndio hataki kuhojiwa police, kajibu baada ya kuchokozwa then tunamlaumu, mbona tuko wanafiki hivi? Khaa.

Tuwaambie hao watu, waachane na habari za Lissu then Lissu mwenyewe hatakua na cha kusema, ukimchokoza, yule jamaa kashindikana mahakani, kwenye vyombo vya habari utamuwezea wapi?
 
Sijawahi kuona aigipii mnafiki namna hii
Huyu angevua tu hayo magwanda yake aingie siasani
Hujawahi kuona IGP at all. Mie ningekuwa wewe ningejiukiza maswali kadhaa. Mosi, tundu alienda lunch, kawaida, kama siku zote. Iweje wauaji siku hiyo wajue kuwa CCTV inezimwa au walinzi hawapo?

Pili, kwa nini wabunge wengine (zaidi ya 200) hawakuenda lunch siku hiyo? I mean, si wa CCM peke yao, hata wa CHADEMA, mbona hawakuenda? Ile siku Mbowe alipovamiwa jwenye staircase kina Mchungaji Peter Msigwa walikuwspo, na Sugu, na Msukuma, na Lijulikali, na Devota. Mbona kwa tundu hawakuwapo, walijuaje?

La 3, tundu alikuwa kwenye gari ya kawaida LHD, yaani dereva hukaa kulia na abiria hukaa kushoto. Kikawaida, wauaji wangemfuata mtu wai uoabde wa kushoto, yaani apigwe risasai mkono wa kushoto mguu wa kushoti mbavu za kushoto. Iweje tundu aumie kulia? Na kama ni kulia, basi na dereva anaemia kidogo, au angetapakaa damu za tundu. Lakini hakuumia kabisa. Hilo linaingia akilini kwako, hata kama si IGP? Sasa hivi yuko wapi? Mie ningedhani CHADEMA wangemtetea Raisnteule wao tundu kwa kutoa ushirikiano na kumkamata aende polisi.

Nne, njemba anataka waende kumhoji Nairobi, why? Si ni Mtanzania utarudi si utajitolea statement? Dereva ni Mtanzania, hakuumia, aliwaona wauaji kwa macho. Hata tundu anadai anawajua wauwaji tangu St Peter's, na siku hiyo aliwaona wakimfuata tangu bungeni. Hii kesi ni rahisi mno, upelelezi na mfupi sana, kwa vile kuna watu wawili wenye akili timamu waliona mauaji, huitwa eyewitnesses. Huna sababu ya kwenda Nairobi kumfuata tundu, atahojiwa hapa hapa.

Kama hakuna ushirikiano, why waste police time?
 
Umesoma vizuri maelezo ya Lissu? Pale kwa kamanda Mroto Dodoma, eneo ambalo pia ndio alikopigwa risasi sio police pale??? Ilishindikana nini kumuhoji mtu ambaye kajileta mwenyewe? Nadhani kuna mengine hata kama tunataka kutetea basi tukae kimya tu, ni aibu sana kwa mtu mzima kudanganya; jamani, kuna Mungu pia, tukumbuke hilo. Yuko wapi aliyeagiza jamaa asipewe pesa za matibabu? Yuko wapi mtu aliye agiza jamaa anyang'anywe ubunge? Yuko wapi.....!? Tumuogope Mungu, maisha tumepewa kama rehani tu, mwenyewe anaweza kuyataka muda wowote, tuache KIBURI.

uache kupambana na uhuni kisa unaogopa kifo!!kuna ambaye hatakufa!!!mbona unafikiri kivivu vivu??
 
Back
Top Bottom