Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Mi huwa nauliza iweje wanaokufa uchunguzi unafanyika bila marehem kuwepo na wahusika wanakamatwa hili la Lissu Kwa nini ahojiwe yeye na taarifa katoa kabla ya kupigwa risasi? Kwa nini ulinzi uondolewe eneo lake?
Mi nadhani Sirro akiwa kimya ni bora kuliko kuanza kuibua hoja na Lisu hatomuweza
 
Vibaka wa dhalim mwendazake bado mpo hai
 
... ni hatari sana kwa vyombo vya dola kujiingiza kwenye siasa za majitaka. Taratibu za kipolisi mhusika anapelekewa samansi/hati ya wito na sio kupigiwa simu. Huyu IGP anakosa kuaminika.
Mlalamikaji baada ya kutendewa kosa inatakiwa yy mwenyewe aende polisi kutoa taarifa na siyo kuitwa kwa wito kwenda polisi.
 
wewe utaishi milele na kazi yako ya kuliwa nyuma itaendelea milele maana ndiyo kazi uliyochagua,
Hivi nyie kweli mlikuwa mabwabwa wa mwendazake eti eh! naona mnajali sana! lakini inawezekana kwa jinsi alivyoteuwa mitako hebu Saa--baya, yule mboga rc wa atown, na mkuu wenu ni yule bashite mitako! wewe ulikuwa mchepuko wa ngapi vile? nakuona litako tako limelegeea! Unavyohangaika si kuwashwa huko! uje nikukune! ingawaje nina kinyaa si kama mwendazake aliyekutoa kinyesi kila siku! Umemmiss et!!!
 
Mnakaa mnapanga kuua wengine, hivi nyie mtaishi milele?
Kushiriki vikao vya kishetani namna hii ni machukizo makubwa sana kwa Mola.
Kushiriki vikao ni kushiriki kuua hata kabla ya kuua, adhabu yenu ni kubwa mno siku ya kiyama.
 
nani alitaka kumuua huyo pimbi wenu? hakuwa na nguvu yoyote ya kuipa wasiwasi nchi hii alikuwa anaogopa kivuli chake tu anakimbia hov=yo
Akili zako nyembamba kama tishu za chooni.Unaelezwa facts halafu bado unajibu huku unatafuna bagia zilizojaa mdomoni.Moron!
 
Usiniletee mimi stress zinazosababishwa na umasikini wako hapa!

Mwambie huyo mtu wako arudi tu au kama kanogewa na amsterdam aseme tu
Uliwazalo bila ushahidi yawezekana huwa unalifanya ndani kwa mume wa dada yako.Una uzoefu bila shaka.Huwa hamjifichi.Mnawashwawashwa tu.
 
Usiniletee mimi stress zinazosababishwa na umasikini wako hapa!

Mwambie huyo mtu wako arudi tu au kama kanogewa na amsterdam aseme tu
Wewe ungekuwa tajiri ungekuwa unaliwa kiboga ili upate mkate wa siku? Aliyekufumua marinda kakuweza kweli kweli
 
Ntamwambia.Ila mjibu huyo mkuu hapo juu.Amesema eti unakula sana maboga hadi tembo wanakuogopa!? It's a mere joke! I'm out![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Huyo ana stress za maisha! Ukoo wake umeliwa na umasikini ndio sababu unaona ana poromosha mitusi kwa hasira namna hiyo
 
Huyo ana stress za maisha! Ukoo wake umeliwa na umasikini ndio sababu unaona ana poromosha mitusi kwa hasira namna hiyo
Anakuchokoza tu.Wala hana hasira.Mjibu vema kama haujaona neno lolote baya toka kwake.
 
Anakuchokoza tu.Wala hana hasira.Mjibu vema kama haujaona neno lolote baya toka kwake.
Mtu asie na hasira hawezi kujibu majibu ya hovyo namna hiyo!

Namjua huyo jamaa ukimgusa Lisu tu hupanic na kuja na matusi kama hivyo, mods huwa wanamshughulikia sana ilanhakomi.

Na ukiona mtu anapata hasira, kupanic na kutukana hovyo namna hiyo ujue ni stress za maisha, na pengine hapo alipo hajui atakula nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…