ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
Mi huwa nauliza iweje wanaokufa uchunguzi unafanyika bila marehem kuwepo na wahusika wanakamatwa hili la Lissu Kwa nini ahojiwe yeye na taarifa katoa kabla ya kupigwa risasi? Kwa nini ulinzi uondolewe eneo lake?
Mi nadhani Sirro akiwa kimya ni bora kuliko kuanza kuibua hoja na Lisu hatomuweza
Mi nadhani Sirro akiwa kimya ni bora kuliko kuanza kuibua hoja na Lisu hatomuweza