IGP si yupo upande wenu?Jamaa anajua hatuwezi kupata ushahidi kuhusiana na hiyo simu aliyopigiwa hivyo anacheza na akili zetu tu.
Ile timu iliyofeli ku excited kule Dom wawili walishafariki.Na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu wote waliotumwa kufanya unyama huo majina yao tunayo , wako 16
Sasa si waambieni hao polisi watoke waseme haya mnayosema ili duniani ithibitishe ujinga wenu..!!Risasi zilipigwa upande wa kushoto zikaumiza upande wa kulia,hii ni zaidi ya sanaaa
Charles mbowe aliapa kumuuwa Sabaya akitoka jelaNa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu wote waliotumwa kufanya unyama huo majina yao tunayo , wako 16
Fara kama labda uwe positive HIV kwenye maisha halisi wewe kenge tuAhahaha..Niko very positive mkuu
Njoo Kwa Shari,njoo Kwa peace hata siogopi
Keyboards hizi.. samtaimz mtu anatokea kusikojulikana anakushambulia alafu kumbe boya Tu Fulani ahahahah.Inabidi nicheke tu
Mkomavu
Anaitwa nani?Baada ya hapo katibu mkuu akapewa ubarozi na kunangwa juu
7) Nilinyimwa haki ya kutibiwa kwa fedha za Bunge kama sheria inavyotaka. Baadae Katibu wa Bunge aliniandikia barua kwamba Rais Magufuli hakutoa idhini ya matibabu hayo.
8) Ni Magufuli aliyesema, saa 2 kabla sijashambuliwa, kuwa wanaopinga vita yake ya uchumi hawastahili kuishi!
Eti Sirro anataka kujisafisha machoni pa watanzania ionekane yeye hahusiki😅😅Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.
Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.
Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.
Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.
Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Sasa mnaaminije huyo mwingine anayosema kweli. Hebu Muacheni Hayatio aopumzike haya endoleeni na yenu sasa.Sijawahi kuona aigipii mnafiki namna hii
Huyu angevua tu hayo magwanda yake aingie siasani
Anaitwa nani?
weka ushahidiCharles mbowe aliapa kumuuwa Sabaya akitoka jela
Ukiona mtu kama huyo kateuliwa kushika nafasi hiyo, ujue alishakubali kuwa sehemu ya uovu aliokuwa amepanga kuufanya mteuzi wake katika nafasi hiyo.Sijawahi kuona aigipii mnafiki namna hii
Huyu angevua tu hayo magwanda yake aingie siasani
Siro ni taka taka bado yupo kwenye utawala wa Meko.Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata...
Lisu ashukuru sana hakufikishwa Muhimbili siku hiyo!Mtu anakwambia anafatiliwa wewe unapuuza
Walinzi wanaondolewa kwenye makazi yake alafu anapigwa risasi eneo ilo ilo...
Iweje waliyoshambuliwa wanakwepa kuhojiwa?Nimeanza kupata mashaka na hii issue ya Tundu Lissu iweje CHADEMA wako kimya juu ya kuishinikiza serikali kuanzisha uchunguzi huru?..iweje wanaharakati wa tweeter hawaweki pressure kwa serikali ili ukweli ueleweke na haki ipatikane?....Au tunaisubiri serikali yenyewe iamue kufanya uchunguzi?..