Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Jamaa anajua hatuwezi kupata ushahidi kuhusiana na hiyo simu aliyopigiwa hivyo anacheza na akili zetu tu.
IGP si yupo upande wenu?

Mwambieni awape huo ushahidi wa simu (atengeneze hata kutengeneza tu) ili nilimpigia mwaka fulani, siku fulani, saa fulani na dakika fulani
 
Ahahaha..Niko very positive mkuu

Njoo Kwa Shari,njoo Kwa peace hata siogopi

Keyboards hizi.. samtaimz mtu anatokea kusikojulikana anakushambulia alafu kumbe boya Tu Fulani ahahahah.Inabidi nicheke tu
Mkomavu
Fara kama labda uwe positive HIV kwenye maisha halisi wewe kenge tu
 
7) Nilinyimwa haki ya kutibiwa kwa fedha za Bunge kama sheria inavyotaka. Baadae Katibu wa Bunge aliniandikia barua kwamba Rais Magufuli hakutoa idhini ya matibabu hayo.

8) Ni Magufuli aliyesema, saa 2 kabla sijashambuliwa, kuwa wanaopinga vita yake ya uchumi hawastahili kuishi!

Inasikitisha Sana , Karma is real b!t<ch.
 
Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.

Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.

Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Eti Sirro anataka kujisafisha machoni pa watanzania ionekane yeye hahusiki😅😅
 
Tukubali tu hatukuwa na ubinadamu kwa mambo mengi.
Bukoba na tetemeko la ardhi
Kumbuka majibu yake kwa wananchi.
Unyama unyama
 
Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.

Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.

Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.

Tutajuaje kama ni kweli?
 
Sijawahi kuona aigipii mnafiki namna hii
Huyu angevua tu hayo magwanda yake aingie siasani
Ukiona mtu kama huyo kateuliwa kushika nafasi hiyo, ujue alishakubali kuwa sehemu ya uovu aliokuwa amepanga kuufanya mteuzi wake katika nafasi hiyo.

Inavyoonekana yule mwingine, Ernest Mangu hakukidhi mahitaji aliyokuwa akiyataka mteuzi. Sirro amekuwa ni sehemu ya uovu uliofanywa wakati wote wa Magufuli alipokuwa kwenye uongozi. Huyu anastahili kuwa sehemu ya watu wanaoweza kuchukuliwa hatua katika maovu waliyowafanyia waTanzania.
 
Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata...
Siro ni taka taka bado yupo kwenye utawala wa Meko.
Hastahili kuwa igp
 
Nimeanza kupata mashaka na hii issue ya Tundu Lissu iweje CHADEMA wako kimya juu ya kuishinikiza serikali kuanzisha uchunguzi huru?..iweje wanaharakati wa tweeter hawaweki pressure kwa serikali ili ukweli ueleweke na haki ipatikane?....Au tunaisubiri serikali yenyewe iamue kufanya uchunguzi?..
Iweje waliyoshambuliwa wanakwepa kuhojiwa?
 
Back
Top Bottom