Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Mtu anakwambia anafatiliwa wewe unapuuza

Walinzi wanaondolewa kwenye makazi yake alafu anapigwa risasi eneo ilo ilo.

Baada ya tukio CCTV zinaondolewa kwenye eneo la tukio

Badae baadhi ya wema serikalini waungwana wanamshauri Mbowe wampeleke nje

Unazuia makanisa na misikiti wasimuombee

Unapiga marufuku watu wasivae tisheti zake zilizoandikwa pray for lissu.

Ananyimwa pesa ya matibabu bila sababu

Anazuiliwa pesa zake za ubunge

Anavuliwa ubunge kinyume cha sheria

Anarudi kugombea urais anaibiwa kura na anataka kuuwawa tena baadhi ya vigogo serikalini wanamshauri kuondoka nchini!

Huyu mtu utasema hataki uchunguzi wa shambulio lake?

Kwanini uchunguzi usianzie kwenye walioondoa walinzi na CCTV?

Magufuli, Ndungai na Siro mtalipa huu uhuni!!
Alimwambia nani kua anafuatiliwa? Alitoa taarifa kwa nani? Hayo ndio maswali ya Sirro.
 
Mkuu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tz. Usipoteze muda wako. Na wala sio sababu ya Polisi wala Nini. Wananchi nje ya wewe hawawezi kumchagua huyo. Kuongoza nchi sio kufanya debate ya maneno. Sasa wewe kwa akili yako unaweza amini ujinga huo : eti nilipata habari Rais anataka kuniua. For what. It’s too much ujinga mpaka nashangaa.
Kwani hawezi! Yule mwendazake alikuwa absolute leader, there is argue against other wise waliona cha mtema kuni
 
'Nilikimbia nchi baada ya kupata taarifa kuwa Rais Magufuli alikuwa ametoa amri kwa 'watu wasiojulikana' kuwa niuawe mara baada ya uchaguzi. Nilikamatiwa na polisi wa IGP Sirro nje ya Ubalozi wa Ujerumani na isingekuwa wanadiplomasia wa Kijerumani kuingilia kati ningepotezwa."-Mh Tundu Lissu
Sawa tumesikia Kwahiyo tukusaidieje

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hili jinga limalopoka uongo kila kukicha... Na kuna mandezi wanamshangilia kwa nguvu zote.

Kuna trend mpya na ina maudhui yale yale. What a resemblance?

IMG_20210712_074708_283.jpg

IMG_20210711_212052_743.jpg

IMG_20210710_185909_066.jpg

IMG_20210709_194014_987.jpg

IMG_20210712_072901_341.jpg
 
Hii movie ya jamaa ikikaribia kuisha anaitafutia muendelezo.

Tafadhali wahusika naomba msimpe jamaa gia ya kufufua jambo lake Kila mara.
Mwenyezi Mungu ALIMLIPA Mwendazake IPASAVYO, kama angeendelea kuvuta pumzi HAKIKA sote tungemalizika. Huyo hakuwa binadamu wa kawaida aisee.
 
Mzee wa "tutashtakiwa MIGA" anatumia nguvu kubwa sana kubaki kwenye air waves.
 
'Nilikimbia nchi baada ya kupata taarifa kuwa Rais Magufuli alikuwa ametoa amri kwa 'watu wasiojulikana' kuwa niuawe mara baada ya uchaguzi. Nilikamatiwa na polisi wa IGP Sirro nje ya Ubalozi wa Ujerumani na isingekuwa wanadiplomasia wa Kijerumani kuingilia kati ningepotezwa."-Mh Tundu Lissu
Kwani Lissu bado anaishi?
 
Hii movie ya jamaa ikikaribia kuisha anaitafutia muendelezo.

Tafadhali wahusika naomba msimpe jamaa gia ya kufufua jambo lake Kila mara.
Na ndiyo maana tunataka katiba mpya mahakama iwe huru awapeleke huko mahakamani. Mtatajana tuu.
 
Mkuu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tz. Usipoteze muda wako. Na wala sio sababu ya Polisi wala Nini. Wananchi nje ya wewe hawawezi kumchagua huyo. Kuongoza nchi sio kufanya debate ya maneno. Sasa wewe kwa akili yako unaweza amini ujinga huo : eti nilipata habari Rais anataka kuniua. For what. It’s too much ujinga mpaka nashangaa.
Legacy ya Mwendawazimu mnampenda Kichaa na matendo yake ya hovyo , lakini hamtaki yasemwe. Pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom