Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Màgufool alikuwa ametamani sana kuutoa uhai wa Lissu ila cha ajabu wachina wameutoa uhai wake pamoja na kulindwa na battalion 2
 
Lissu na Amsterdam ile kesi yao iliishia wapi? Maana huu ushahidi angepeleka hata hizo mahakama za wazungu. Kila siku analeta hekaya!
 
Story yake ina episode ngapi? Mbona hakulisema au uchaguzi umeisha jana? Saa nyingine mtu unaonekana ni muongo kwa kauli za kuunga unga, wakati anasema akihakikishiwa ulinzi na Rais angeongea na hili tungemuelewa. Siasa za namna hii hazitomfikisha popote
 
Huyo mwanaharakati aache kugeuza tukio Lake kuwa mtaji wa kisiasa, mtu yoyote akitendewa kinyume na sheria hasa kijinai anajukumu la kutoa taarifa kituo cha polisi cha jirani yake na pia ana jukumu la kutoa ushirikiano wa kutosha kuwezesha upelelezi na kumpata aliyemtendea uhalifu huo.

Pamoja na kuwa alikuwa akijiuguza huko nchi jirani baadae Ulaya lakini baada kupata nafuu hakurudi nyumbani kutoa ushirikiano na polisi lakini akawa anapiga misele kwenye vyombo mbali mbali vya habari akihubili kuhusu kupigwa risasi ili aonewe huruma na aje kugombea uraisi na uchaguzi ulipo karibia alirudi na hakwenda kulipoti polisi akafanya kampeni na baada ya kushindwa uchaguzi alisingizia anatishiwa

bila kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi na wala hakusema anatishiwa na nani na kwanini na matokeo yake alikwenda kutunga uwongo kwenye ubalozi wa nchi fulani ya ulaya akasafirishwa kwenda huko alipo na wakati alifanya kampeni takribani miezi mitatu huku akikorofishana na polisi mara nyingi.
Jinai kubwa kama ile iliyofanyika in public tena inayohusisha silaha, Jeshi la polisi huwa halingoji taarifa kuwa jinai ilitokea wakati linajua jinai ilitokea na lilifika eneo la tukio, huwa linaingia lenyewe front na kuanza upelelezi. Hapa inaonyesha wazi Jeshi la Polisi chini ya Sirro linalinda wauaji na kubariki kitendo cha jaribio la mauaji. Shame on Sirro!
Shahidi hawezi kugomea wito rasmi wa polisi bila consequence za kisheria, IGP atuambie alifanya nini kama Lissu aligomea wito, na atwambie Jeshi la Polisi linaendeleaje katika uchunguzi wa hilo tukio licha ya kuwa halijamhji Lissu maana hata kama Lissu angekufa lazima uchunguzi ulipaswa uendelee!
 
Hili jinga limalopoka uongo kila kukicha... Na kuna mandezi wanamshangilia kwa nguvu zote.
Unaambiwa mtu mwenyewe alikuwa kichaa na faili lake Milembe lakini bado Kuna kiwango cha kutosha cha Watanzania walikuwa na bado wanamuelewa.

Kwa aina yako hii ya Watanzania itahitaji "Generational Drift" kupiga hatua stahiki ya maendeleo. Kinyume na hapo tusahau!
 
Jamaa anajua hatuwezi kupata ushahidi kuhusiana na hiyo simu aliyopigiwa hivyo anacheza na akili zetu tu.
Stroke:Sawa wewe ni CCM lakini kubali ukweli na Hali halisi Wala acha kukejeli watu waliopata matatizo .chukulia ni wewe ndo umepata hayo matatzo halfu watu wakukejeli vipi utajiskiaje? Kuwa na roho ya utu na hapa tupo duniani Ivo tupendane
 
Hii movie ya jamaa ikikaribia kuisha anaitafutia muendelezo.

Tafadhali wahusika naomba msimpe jamaa gia ya kufufua jambo lake Kila mara.
Udikteta wa Hitler unazungumzwa mpaka leo. Na hata huu udikteta wa marehemu, utaendelea kusimliwa vizazi vingi vijavyo.

Ni vema Tundu Lisu au mwingine yeyote aandike kitabu kinachouelezea utawala wa marehemu katika uhalusia wake bila ya ushabiki.
 
Sasa si akaishi huko huko? Ngonjera na kiki zake tumezichoka
Hataishi huko milele maana Tanzania ni nchi yake, na ana haki zote kama raia mwingine wowote.

Udhalimu lazima usemwe na uwekwe kwenye kumbukumbu za nchi yetu ili iwe fundisho kwetu na vizazi vijavyo.
 
Mkuu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tz. Usipoteze muda wako. Na wala sio sababu ya Polisi wala Nini. Wananchi nje ya wewe hawawezi kumchagua huyo. Kuongoza nchi sio kufanya debate ya maneno.

Sasa wewe kwa akili yako unaweza amini ujinga huo: eti nilipata habari Rais anataka kuniua. For what. It’s too much ujinga mpaka nashangaa.
Unasema, asingeweza kuagiza kuwa auawe (for what), mara ya kwanza (wakati wa shambulio la risasi 16) alitaka auawe for what?
 
Mkuu Lissu hawezi kuwa Rais wa Tz. Usipoteze muda wako. Na wala sio sababu ya Polisi wala Nini. Wananchi nje ya wewe hawawezi kumchagua huyo. Kuongoza nchi sio kufanya debate ya maneno.

Sasa wewe kwa akili yako unaweza amini ujinga huo: eti nilipata habari Rais anataka kuniua. For what. It’s too much ujinga mpaka nashangaa.
Magufuli alikuwa muuwaji Hilo halina ubishi.
 
Unasema, asingeweza kuagiza kuwa auawe (for what), mara ya kwanza (wakati wa shambulio la risasi 16) alitaka auawe for what?
Mkuu Bams achana naye uyo uwezo wake wa kufikili ni mdogo sana
 
Back
Top Bottom