Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Kwani unawajua hao mnaowaita walimumiminia
Kwani wewe huwajui? Au siyo mtanzania. Kungekuwa na utawala wa sheria mbona asubuhi tu wangekamatwa. Wewe unafikiri ni nani anayeweza kuingia kwenye makazi ya wabunge na viongozi wa serikali, angóe CCTV mchana kweupe na kisha aanze kummiminia binadamu mwenzake risasi kama mnyama? Kwa hiyo mpaka hapo utasema hujui ni nani?
 
Tundu amekutana na akili kubwa Tanzania
Wale aliodhani ni wajinga na wasiojua kiingereza wamemwambia ulinzi na usalama ni wajibu wa serikali kwa kila raia.
Yeye anataka ulinzi binafsi sasa alishawahi jiuliza wangapi wamepitia magumu kama yeye na wako salama nchini? Je aliambiwa walipewa ulinzi binafsi!?
Tutajie mmoja tu aliyepitia magumu ya kupigwa risasi zote zile kwenye makazi ya serikali na wabunge kukiwa na ulinzi wa jeshi la polisi na CCTV kungólewa kama ilivyotokea kwa Lissu na bado yupo salama nchini. Mtaje tafadhali, tunatamani kumjua.
 
Kwani wewe huwajui? Au siyo mtanzania. Kungekuwa na utawala wa sheria mbona asubuhi tu wangekamatwa. Wewe unafikiri ni nani anayeweza kuingia kwenye makazi ya wabunge na viongozi wa serikali, angóe CCTV mchana kweupe na kisha aanze kummiminia binadamu mwenzake risasi kama mnyama? Kwa hiyo mpaka hapo utasema hujui ni nani?
Mbona huwataji sasaa??? Kama unawafaham na uliwaona?? Achakuzunguka zunguka watajeee.
 
unajuwa mnapobishania mambo ya kijinga kama haya msimuhusishe Mungu mnamchosha hivi yeye alikuwa au huwaga anasubiri aitwe kuhojiwa? hivi alipokuja kufanya kampeni si alitakiwa aende kituo cha polisi akafungue jalada au akaripoti kushambuliwa kwake? ili sasa polisi wafanye mahojiano na yeye? sasa polisi wanaweza kuwa na kazi ya kumtafuta kila mtu aliyefanyiwa tukio ili wamuoji inawezekana? au yeye ni spesho sana kuliko wananchi wengine?
Nadhani kwenye issues za jinai hujui sheria inavotaka, ndio maana humsikii kamanda Sirro akimlaumu Lissu kutokwenda kufungua jarada, anasema alimuita na hakutokea; wewe endelea ushabiki na chuki, wengine tumejikita kwenye UKWELI.
 
Kitendo cha CDM kumficha dereva sina imani na CDM.nahisi ni wenyewe walitumana kufanya la kufanya.
 
Nadhani kwenye issues za jinai hujui sheria inavotaka, ndio maana humsikii kamanda Sirro akimlaumu Lissu kutokwenda kufungua jarada, anasema alimuita na hakutokea; wewe endelea ushabiki na chuki, wengine tumejikita kwenye UKWELI.
yaani wewe ndiyo sifuri kabisa unaushabiki wa kisenge tu yaani mtu hajaenda kushitaki nani anakazi ya kumfuata mtu akamhoji badara ya mwenye shida ndiyo aende akatoe maelezo kwanza dreva wake kamficha wa nini yule ndyo anajuwa kila kitu washamba nyie
 
Hizo sifa za unazozisema mwambie mama yako, kama huwezi kuchangia kistaarabu, nenda kaongee na wenzio wenye sifa mnazo fanana. Kwani wale waliofungwaga kwa makosa ya mtandao ni nani alishtaki? Jinai inabaki hata kama aliyefanyiwa jinai hajashtaki, rudi shule kasome upya, acha kutukana watu. Sijui kwanini watu wenye simple minds hua mnajificha kwenye matusi, anyway, ni sifa zenu so mnadhani wote ni was**nge kama nyie
 
mamaangu anafuata nini hapa nenda kamsaidie lissu kuliwa naona unawashwa nenda na wewe kaliwe huna hoja ya kuongea mbele za wanaume wewe demu tu
 
Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata.

Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote.

Soma >IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja
====

IGP Sirro ni mwongo asiyefaa kuvaa sare ya Jeshi la Polisi, let alone kuwa Mkuu wake. For the record:

1) Hajawahi kunipigia simu au kuniita kwenye mahojiano yoyote.

2) Nikiwa Nairobi Hospital niliambiwa polisi watakuja kunihoji hospitalini. Niliwasubiri lakini hawakuonekana.

3) Polisi hawajahoji mtu yeyote wala kutoa taarifa yoyote juu ya uchunguzi wao, zaidi ya kudai wahusika ni watu wasiojulikana na hakuna hata mtu wanayemshuku.

4) Polisi walisema wana footage ya CCTV camera iliyokuwa kwenye jengo nilikoshambuliwa. Hadi leo wako kimya juu ya hilo.

5) Polisi hawajawahi kusema ni nani aliyeondoa walinzi wote kwenye makazi ya viongozi wa serikali ili kuwaruhusu wauaji waingie ndani na kunishambulia kwa risasi.

6) Nilisema hadharani kwamba nilikuwa nafuatiliwa kwa gari na watu waliotumwa na IGP Sirro na Mkuu wa TISS Kipilimba.

Niliwataja IGP Sirro na DG-TISS Kipilimba specifically na kuwataka waingilie kati, na nilitaja gari iliyokuwainanifuata fuata. Majibu yalitolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba aliyepuuza taarifa yangu na kudai gari iliyokuwa inanifuata fuata iko Arusha, sio Dar.

Baada ya shambulio, Jeshi la Polisi lilifanya jitihada kubwa kuzuia wananchi kunipa msaada wowote. Waliojaribu kuniombea makanisani na misikitini walipigwa marufuku. Waliojaribu kujitolea damu walikatazwa. Waliovaa Tshirt zenye picha yangu walikamatwa na kuwekwa mahabusu.

6) Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, chini ya Mwenyekiti wake Balozi Adadi Rajabu (DCI mstaafu), ilifanya uchunguzi wa shambulio dhidi yangu na kuandaa taarifa rasmi. Taarifa hiyo ilizimwa na uongozi wa Bunge masaa machache kabla ya kuwasilishwa rasmi bungeni. Kwa nini?

7) Nilinyimwa haki ya kutibiwa kwa fedha za Bunge kama sheria inavyotaka. Baadae Katibu wa Bunge aliniandikia barua kwamba Rais Magufuli hakutoa idhini ya matibabu hayo.

8) Ni Magufuli aliyesema, saa 2 kabla sijashambuliwa, kuwa wanaopinga vita yake ya uchumi hawastahili kuishi!

9) Mwaka jana nilienda Polisi Dodoma kudai gari yangu ambayo iko polisi tangu niliposhambuliwa. Jibu la RPC Muroto lilikuwa sitapewa gari yangu mpaka nitakapohojiwa juu ya shambulio. Lakini polisi hawakuwa na interest ya kunihoji zaidi ya kupiga mabomu mikutano yangu ya hadhara.

10) Nilikimbia nchi baada ya kupata taarifa kuwa Rais Magufuli alikuwa ametoa amri kwa 'watu wasiojulikana' kuwa niuawe mara baada ya uchaguzi. Nilikamatiwa na polisi wa IGP Sirro nje ya Ubalozi wa Ujerumani na isingekuwa wanadiplomasia wa Kijerumani kuingilia kati ningepotezwa.

IGP Sirro anasema sistahili kupewa ulinzi wowote kwa sababu mimi ni Mtanzania sawa na Watanzania wengine. Lakini sio Watanzania wote waliowahi kushambuliwa kwa risasi 16 wala kutendewa kama nilivyotendewa mimi. Majibu yake ni utetezi wa wauaji wasiojulikana na wale waliowatuma!
View attachment 1849851
Ndio ujue Tundu Lissu ni mtu mbinafsi mroho wa madaraka na mlaku. Kutokana na sifa hizo ndio unakuta amekua kibaraka amekumbatiwa na mabwana hadi anatetea ushoga.

Wakati magufuli alikua tayari kuyatoa maisha yake akiongoza nchi ili watu wake wapate maendeleo ya kiuchumi bila kuwaogopa maadui wenye nguvu kama makampuni ya nchi za kibeberu Tundu lissu amekua akikimbia nchi eti kuhofia maisha yake huku akionyesha uoga kama ule wa kunguru.

Nikuulize wewe unayemhusudu tundu lissu. Hivi mtu muoga kama tundu lissu anaweza kuongoza mapambano yoyote ya kisiasa na kiuchumi kutetea umma? Tangu akoswekoswe kuuliwa na watu wasiojulikana sera yake imekua kulalamika kuhusu usalama wake binafsi wala sio shida za wananchi.
Tundu lissu is a running dog and puppet of imperialists. He is just a lame duck.
 
Kwa AIGIPII Siro siyo ajabu kuna siku atasema ''Lisu hakupigwa risasi''
Mama Samia mtumbue huyu jamaa atakuharibia.
 
Haya mambo magumu saaana.

SIrro aache Ligi na Lissu,, kama wanataka kuhamisha upepo ili watu wasidai katiba mpya hii inakuwa imekula kwao.
 
Back
Top Bottom