Tundu Lissu inabidi aingoze Chadema kutokana na hali ya siasa iliyopo

cumbamalema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
366
Reaction score
820
Hii haina ubishi kwa siasa za kinyonge zilizopo ndani ya Chadema zinazoendeshwa na Mboe,inabidi amkabizi kijiti Tundu Lissu
Siyo kwamba kwa ajili ya kufanya vurugu,hapana tunaitaji mtu atakayetutia ujasiri hata tunapouwawa,siyo kulialia na kuwakaribisha wauwaji kwenye misiba yetu na kutoa matamko ya kinyonge
 
WEWE USIYE MNYONGE WEKA JINA LAKO HALISI
 
Mbowe atamwachia?
 
Kwa kweli TUNDU LISSU anafahamika Kwa misimamo yake migumu,... Hawataruhusu awe mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…