PreGE2025 Tundu Lissu: Itakuwa kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema "Itakua kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini"

"Ni mara ya kwanza katika historia ya nchi kuona kesi kubwa katika sheria za Tanzania kesi ya UHAINI, akishtakiwa mtu mmoja.

"Kwamba alipanga uhaini siku moja - wapelelezi wakaona mtandaoni."

"Lakini ni siku 83 hawajafanikiwa kuleta ushahidi wa upelelezi wao Mahakamani."

Soma, Pia: Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

Amesema hayo leo Julai 1, 2025 Mahakamani wakati akifafanua hoja kwenye shauri la uhaini linalomhusu

Kwenye hii kesi ni kama umewachokoza nyuki waliotulia,wewe ukajikuta mandonga mtu kazi ukarusha jiwe.

Wnatamani kesi iishe maana wamekaliwa kooni ila wanabaki kujikaza kisabuni waoneakane wanakomaa.

Tundu aendelee kupiga kwenye kidonda,asipige sehemu nyingine,mpaka mtu anyooshe mikono juu.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema "Itakua kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini"

"Ni mara ya kwanza katika historia ya nchi kuona kesi kubwa katika sheria za Tanzania kesi ya UHAINI, akishtakiwa mtu mmoja.

"Kwamba alipanga uhaini siku moja - wapelelezi wakaona mtandaoni."

"Lakini ni siku 83 hawajafanikiwa kuleta ushahidi wa upelelezi wao Mahakamani."

CCM ni majinga
 
Haahaa uhaini wa lissu ni wa kufikirika...
 
Asa huyu ndio wakili Baba mtu nzima anatoka nyumbani kaacha familia kabisa anakuja kuongea Utopolo anatumwa na wakoloni weusi..Stupid man!
 
Attachments

  • Screenshot_20250701_110720_YouTube.jpg
    Screenshot_20250701_110720_YouTube.jpg
    219.7 KB · Views: 37
Kwenye hii kesi ni kama umewachokoza nyuki waliotulia,wewe ukajikuta mandonga mtu kazi ukarusha jiwe.

Wnatamani kesi iishe maana wamekaliwa kooni ila wanabaki kujikaza kisabuni waoneakane wanakomaa.

Tundu aendelee kupiga kwenye kidonda,asipige sehemu nyingine,mpaka mtu anyooshe mikono juu.
NI AIBU KWA MCHADEMA KUJA MAHAKAMANI WAMEKOMAA KAMA KUN AKESI KWELI WAKATI WANAPOTEZEWA TU MUDA HAKUNA KESI HAP O MALENGO YAKITIMIA INATOLEWA MCHEZO UNAKUWA UMEISHIA HAPO
 
Inadhihirisha Serkali ilovyojaa wapmbavu waliojaa ushetani! Mtu asiye na akili halafu akaamua kuwa jambazi, anaweza kufanya uovu wa ajabu kama huu tunaoshuhudia.
 
Back
Top Bottom