Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema "Itakua kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini"
"Ni mara ya kwanza katika historia ya nchi kuona kesi kubwa katika sheria za Tanzania kesi ya UHAINI, akishtakiwa mtu mmoja.
"Kwamba alipanga uhaini siku moja - wapelelezi wakaona mtandaoni."
"Lakini ni siku 83 hawajafanikiwa kuleta ushahidi wa upelelezi wao Mahakamani."
Soma, Pia:
Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025
Amesema hayo leo Julai 1, 2025 Mahakamani wakati akifafanua hoja kwenye shauri la uhaini linalomhusu