NA NDIYO UTOPOLO WAKE UMESIKILIZWA JAMAA ANARUDI NDANI YEYE ANARUDI NYUMBANI NANI ZAIDI?Asa huyu ndio wakili Baba mtu nzima anatoka nyumbani kaacha familia kabisa anakuja kuongea Utopolo anatumwa na wakoloni weusi..Stupid man!
NA NDIYO UTOPOLO WAKE UMESIKILIZWA JAMAA ANARUDI NDANI YEYE ANARUDI NYUMBANI NANI ZAIDI?Asa huyu ndio wakili Baba mtu nzima anatoka nyumbani kaacha familia kabisa anakuja kuongea Utopolo anatumwa na wakoloni weusi..Stupid man!
Wewe ndo unaona hawakutumia akili, wenzako hapo mchongo wao unaenda kama ulivyopangwa. Kiufupi hakuna kesi hapo.Nafikiri hawakushirikisha akili kabla ya kufungua kesi
Sasa hapo ni akili gani imetumika wakati hayo maswali hata mtoto wa darasa la 7B anaweza kuuliza? 🤣🤣🤣🤣
Hakuna mfano. God bless this Guy!Jamaa ana akili Sana
Tena kilaza kwa ukubwa sanaHakuna kesi zaidi ya maelekezo kutoka kwa maza na bahati mbaya naye ni kilaza
Amna kesi hapo mkuu wanajua wanachokifanyaKwa hiyo unataka kusema waluofu gua hiyo kesi wana akili na uelewa wa chini kiko hata wa la 7B, maana walishindwa kujiuliza hta swali hilp!! Au na wewe una uelewa wachini ya ule wa mtoto wa la 1B?
Anauzwa anakubaliTena kilaza kwa ukubwa sana
Ni maelekezo ya kijinga kijinga tuKabisa watu wenye akili huko nje wanaona hawa wanasheria hawajui kitu
Anataka uchaguzi fake upite ndiyo kesi ianzeAmna kesi hapo mkuu wanajua wanachokifanya
Hana uwezo wa nafasi aliyo kaliaAnauzwa anakubali
Kweli ngumu kusema, maana ni sawa na kumwambia mtu unanichukia,akikuuliza umejuaje,jibu nimeusoma moyo wako!Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema "Itakua kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini"
"Ni mara ya kwanza katika historia ya nchi kuona kesi kubwa katika sheria za Tanzania kesi ya UHAINI, akishtakiwa mtu mmoja.
"Kwamba alipanga uhaini siku moja - wapelelezi wakaona mtandaoni."
"Lakini ni siku 83 hawajafanikiwa kuleta ushahidi wa upelelezi wao Mahakamani."
Amesema hayo leo Julai 1, 2025 Mahakamani wakati akifafanua hoja kwenye shauri la uhaini linalomhusu
Akili za kichawi!Na yeye ndo atakua mtu wa kwanza kunyongwa akiwa peke yake ili iwe fundisho kwa wengine
Kweli Aibu!Mawakili wa Serikali wanajiona wajinga sana kwa swali hilo
Aibu naona mie!
Nchi haitakombolewa na maneno, watu kama hao hwana ukinzi kwenye jamii ukimuendea chap wanazikaAsa huyu ndio wakili Baba mtu nzima anatoka nyumbani kaacha familia kabisa anakuja kuongea Utopolo anatumwa na wakoloni weusi..Stupid man!