PreGE2025 Tundu Lissu: Itakuwa kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini

PreGE2025 Tundu Lissu: Itakuwa kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nchi zingine sijui kama Jaji nae atapoteza muda kusikiliza kesi ya namna hii na zinatumika kodi za wananchi hapo kwa vitu kesi ya kijinga tu.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema "Itakua kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini"

"Ni mara ya kwanza katika historia ya nchi kuona kesi kubwa katika sheria za Tanzania kesi ya UHAINI, akishtakiwa mtu mmoja.

"Kwamba alipanga uhaini siku moja - wapelelezi wakaona mtandaoni."

"Lakini ni siku 83 hawajafanikiwa kuleta ushahidi wa upelelezi wao Mahakamani."

Amesema hayo leo Julai 1, 2025 Mahakamani wakati akifafanua hoja kwenye shauri la uhaini linalomhusu

Prosecutors pamoja na Judge wanapigwa darasa la sheria hapo mpaka waive vizuri. Wameingia choo kibovu.
 
Hawa ndio wanawatumiaga kwenye mikataba inayohusu rasilimali za taifa.
 
Back
Top Bottom