Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema

Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini

Ngoja tumsikie......
CCM wanajamba balaa
 
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Kama unakumbuka alithibitisha kwamba hakuwa anagombea nafasi ya mwenyekiti awali , kwa sababu alichukua kabisa fomu ya kugombea umakamu mwenyekiti. Kwa hiyo alikuwa sahihi kusema hivyo.

Kubadilika kulikuja baada ya kuhisi mwenyekiti wao wakati huo, alikuwa na njama za kuwatosa na kuwatoa baadhi ya watu, akiwemo Lissu kwenye circle ya Uongozi. Na inaonekana alikuwa ame compromise somewhere. Ulitaka afanyeje kama mtu mwenye akili? Kubadili mbinu ndo ulikuwa mpango pekee. Ni wajinga tu ndo huwa hawabadiliki. ( They are only fools who can't change).

Hiyo Sasa ndo move ya kiakili. Kwetu sisi ambao hatukupata D, hiyo ndo tunaita akili kubwa.

If he/ she betrays you, go for him or her!
 
Back
Top Bottom