Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ruzuku na michango ya akina Upendo Peneza

Kununua Jengo la Chama siyo kama kununua Jengo la msikiti kama alivyonunua mchungaji Mtikila 🐼
Kwa hivyo mazuri yote aliofanya mbowe yamefanywa na chama. Mapungufu ya chama ni ya Mbowe. Lissu haraka haraka tunataka amsha amsha. Maaandamano mpaka tupate tume huru ya uchaguzi. Usiwe kama mbowe
 
Kwa hivyo mazuri yote aliofanya mbowe yamefanywa na chama. Mapungufu ya chama ni ya Mbowe. Lissu haraka haraka tunataka amsha amsha. Maaandamano mpaka tupate tume huru ya uchaguzi. Usiwe kama mbowe
hapo ndipo atakapo feli hakuna mtanzania mjinga wa kumuingiza kwenye maandamano atakuwa anaandamana pekeyake kama mbowe
 
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Hapo wewe ndo unaroppka sasa kama mwehu
 
Back
Top Bottom