Pre GE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM wanajamba balaa
 
Kama ilivyokuwa kwa Lowassa 2015, huu ni mwaka wa Tundu Lissu.

Kila anachogusa ni dhahabu!
Natofautina na wewe,, miezi mitatu chama kitamshinda migogoro ya ndani itazalishwa
 
Mungu awasaidie Chadema. We need new brains hasa Lissu kuiweka to Make Tanzania Great.
 
ataropoka tu kama kawaida yake. Mpuuzi mkubwa
sikiliza clip hiyo.....halafu umwamini mtu kama huyo...if you are a sensible man, you can no longer trust that person! kama Idd Amin!
Kama unakumbuka alithibitisha kwamba hakuwa anagombea nafasi ya mwenyekiti awali , kwa sababu alichukua kabisa fomu ya kugombea umakamu mwenyekiti. Kwa hiyo alikuwa sahihi kusema hivyo.

Kubadilika kulikuja baada ya kuhisi mwenyekiti wao wakati huo, alikuwa na njama za kuwatosa na kuwatoa baadhi ya watu, akiwemo Lissu kwenye circle ya Uongozi. Na inaonekana alikuwa ame compromise somewhere. Ulitaka afanyeje kama mtu mwenye akili? Kubadili mbinu ndo ulikuwa mpango pekee. Ni wajinga tu ndo huwa hawabadiliki. ( They are only fools who can't change).

Hiyo Sasa ndo move ya kiakili. Kwetu sisi ambao hatukupata D, hiyo ndo tunaita akili kubwa.

If he/ she betrays you, go for him or her!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…