Tundu Lissu: Kama mlifikiri kutufutia kesi ni hongo tunyamaze siku mkituibia, hiyo haipo

Chizi Lissu katika ubora wake
Tunajua Kinana na Wasira ndivyo wanavyowafundisha kutukana, lkn mkijibiwa utawasikia wanavyolalamia mara tumieni maneno ya staha mara umemtukana rais.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu akiwa Mkoani Kagera, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, amemjibu Kinana aliyewatuhumu Viongozi waandamizi wa CHADEMA kukosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hasani aliyewafutia kesi.

Lissu amesema, hawawezi kushukuru kwa kufutiwa kesi za uwongo ambazo Rais mwenyewe amewahi kukiri hadharani kuwa zilikuwa za uwongo.

"Nakufungulia kesi ya uwongo, nakutesa, nakuweka gerezani, Mwenyekiti amekaa gerezani miezi minane, ameachiwa bure mlitaka apige magoti kushukuru?.."

“Sisi ukitufunga bure TUTAKUSEMA, ukituachia baada ya kutufunga bure TUTAKUSEMA, ukiiba TUTAKUSEMA, ukigawa nchi yetu kwa wageni TUTAKUSEMA, na tutakusema mchana kweupe, sisi hatuhongeki, kama mlifikiri mnatuachia kama hongo, hiyo haipo..." Tundu Lissu.

Huyo ndiye Lissu ‘White is White, Black is Black’.
Chizi Lissu katika ubora wake
 
Mh rais Samia na wewe sasa jitetee dhidi ya huyu jamaa asiye kuwa na shukran na adabu. Una jeshi, polisi, magereza na usalama wa taifa.
Tuma vijana wamtoe meno matatu kwa nyundo, atanyamaza siku kazaa. Akipona ataendela, anatolewa teno magego mawili.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo maana hatuendi mbele tunarudi nyuma
Tutaendaje mbele kama marais wenyewe ndiyo wako mstari wa mbele kuhujumu taifa lao?

Mh rais Samia na wewe sasa jitetee dhidi ya huyu jamaa asiye kuwa na shukran na adabu. Una jeshi, polisi, magereza na usalama wa taifa.
Tuma vijana wamtoe meno matatu kwa nyundo, atanyamaza siku kazaa. Akipona ataendela, anatolewa teno magego mawili.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Mungu fundi hachelewi wala hawahi. Lissu hana jeshi hana polisi hana magereza lkn ana Mungu wake, Magu alijaribu Mungu akajibu mapigo.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu akiwa Mkoani Kagera, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, amemjibu Kinana aliyewatuhumu Viongozi waandamizi wa CHADEMA kukosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hasani aliyewafutia kesi.

Lissu amesema, hawawezi kushukuru kwa kufutiwa kesi za uwongo ambazo Rais mwenyewe amewahi kukiri hadharani kuwa zilikuwa za uwongo.

"Nakufungulia kesi ya uwongo, nakutesa, nakuweka gerezani, Mwenyekiti amekaa gerezani miezi minane, ameachiwa bure mlitaka apige magoti kushukuru?.."

“Sisi ukitufunga bure TUTAKUSEMA, ukituachia baada ya kutufunga bure TUTAKUSEMA, ukiiba TUTAKUSEMA, ukigawa nchi yetu kwa wageni TUTAKUSEMA, na tutakusema mchana kweupe, sisi hatuhongeki, kama mlifikiri mnatuachia kama hongo, hiyo haipo..." Tundu Lissu.

Huyo ndiye Lissu ‘White is White, Black is Black’.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una mtindio wa ubongo ww. Nyie ndio wale wa ndio ndio
Huyu ni moja kati ya waliolambishwa asali

Kabla hajalamba asali alikuwa bega kwa bega na Lisu kipindi kile anataka akafungue kesi mahakama ya nini sijui huko duniani,

Alikuwa kama msemaji wa Lisu huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom