Tundu Lissu: Kama msimamo wa Rais Samia ndio huu, tujiandae kwa mapambano makali na magumu mbeleni

Mkuu sauti yako isikike mpaka oldonyo lengai.....umeandika kitu ambacho watu hawapendi kuskia ni ukweli mtupu mimi ntaandamana mkuu
 
Nairobi, Kenya

EXCLUSIVE: One on one Interview with Tundu Lissu​


Maureen Medza wa Mwanzo TV anafanya mazungumzo maalum na makamu mwenyekiti wa chama cha siasa nchini Tanzania cha CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu.

Truth and Reconciliation / Maridhiano ya Kitaifa au kusahau yaliyopita. Kuundwa Tume ya Ukweli na Haki na Maridhiano kuweza kujua yaliyotokea (Justice and Reconciliation).

Mh. Samia Suluhu Hassan ana nafasi ya kujitengenezea legacy safi ya kufanya historia ya kutukuka kwa kuleta maridhiano, katiba mpya pendekezwa ya Kamati ya Jaji Warioba.
Source : mwazo TV
 
Magufuli alikuwa hovyo,ila I swear huyu angekuwa kwenye position ya Magufuli angekuwa hovyo Mara dufu,not presidential material
 
Tanzania hii tukitaka tusonge mbele kiuchumi na kidemokrasia dawa ni kuiondoshea mbali ccm. Ikishindikana kwenye ballot box basi hata kwa mtutu.

unafikiri siku risasi zikilia ndio zitanyamaza? shukuru Mungu na huo ugali unaokula hapo, kuna wenzio wanaomba amani kila kukicha hawaioni....Ukishaanza kuliza risasi na hiyo CCM ikatoka usifikiri amani itarudi kirahisi tena....tena Tanzania magenge ya kimafia wanaitamani sana siku mpigane ili waigeuze DRC nyingine ya Africa maana kuna kila aina ya resources wanazozitaka....
 
MAPAMBANO yepi ?!!!

Lissu anapambana begani mwa BOB AMSTERDAM huko mamtoni ?!!!

Mama Samia awakazie hawa jamaa......
Hawa jamaa wanataka nchi isitawalike......

Mh.Rais nakuomba chondechonde ile kauli yako ya "ukinizingua nakuzingua" UITANGULIZE mh.Rais wetu......CHONDECHONDE MH.RAIS....

Hawa jamaa tunawajua huku mitaani.....

Hawa jamaa "SIO KABISAAAA"....

Hawa jamaa WATATURUDISHA NYUMA...kwani mh.Rais ni mtu mpole ,mweledi ,mwenye busara na utu.....ila ila ila ila HAWA JAMAA SIOOOOOO.......


#KaziIendelee
 
..kama ni uongo basi Rais Samia Suluhu atuonyeshe kwa VITENDO.

1. Aivunje tume ya uchaguzi na kuanza mchakato wa kuunda tume mpya na huru...

Kuongea tuh ni jambo rahis Sana,

Wangekuwa hao chadema wangefanya hivyo?

Urais ni Taasisi,hawez kufanya maamuz SAMIA pekeyake bila kuhusisha baraka za chama chake,mnataka awe dikteta??

Mbowe mwenyew ana miaka 17 hapo hatak kuachia kiti Cha uenyekiti, angekuwa kwenye power hiyo hata yeye asingeweza fanya hivyo tusiongopeane hapa,

Suala la katiba ni mchakato,hatuwez liendea kwa pressure za chadema
 
Ni malofa tu kama MKAPA alivyowaita ...
 
Okay nitakuwa frontline mimi na masela zangu maana bado sina watoto.
Sawa.....

Ukivunjwa miguu nitakuletea binamu yangu Bashiru Zembwe mje kupeana POLE NA KUTIANA MOYO....kwani yeye Sasa hivi anatembelea CHA MAGURUDUMU 3 baada ya ile kadhia ya CUF......
 
TL inawezekana anaijua sana sheria kama taaluma yake lakini kwenye kitu kinachoitwa uzoefu wa mambo na uongozi sifuri kabisa....anaonekana ana uelewa mdogo sana wa mambo nje ya taaluma aliyosomea ndio maana kwenye kampeni alikuwa anaongea matango pori mengi sana, alikuwa akimeza mazima mazima kifupi hana tofauti sana na Dr Slaa japo Dr kamzidi kidogo uelewa.

Naamini huyu hakuwa mgombea chagua la Mbowe na naamini bado Mbowe hamkubali TL hata kidogo ndio vile tu naye anaogopa siasa za oyaoya.
 
Mama Samia ni rais mzur anafanya mengi mazur,tumpe muda pia,,Lissu ajirekebishe kaul zake sio,rais Samia huwez mfananisha na Magu hata kidogo,
 
Mbowe aliibadilisha KATIBA ya mwenyekiti kuhudumu VIPINDI VIWILI TU....leo ana miaka 17 madarakani....umri wa mtoto kumaliza KIDATO CHA 4 🤣🤣🤣🤣
 

Hawana jeuri hiyo,makamanda uchwara tuh hawa,uwezo huo wa kuingia barabaran hawana,tatizo hawaaminiki,hata kama ni kweli ccm umechoka lakin wapinzan wa nchi hii hata wakiipata katiba mpya hawako tayar kuongoza hii nchi
 
Hawana jeuri hiyo,makamanda uchwara tuh hawa,uwezo huo wa kuingia barabaran hawana,tatizo hawaaminiki,hata kama ni kweli ccm umechoka lakin wapinzan wa nchi hii hata wakiipata katiba mpya hawako tayar kuongoza hii nchi
Hakika mkuu....Umenena 👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…