Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hizo ni story za kusadikika. Unalala na dpp ww?Dpp anawalia timing anytime kinanuka. Ila huyu mpambana ufisadi tunataka akemee na huu ufisadi.
It is tsh 1.5 trilion onlyNdugu Tundu Lissu mgombea wa CHADEMA unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu aliyekwapua mali ya umma...
Sinema yenu ya PCCB na Lijualikali imebuma sasa mnamtupia Lissu?Wakati zinakwapuliwa hakuwepo alikuwa Belgium. Usipotoshe hajui matumizi yake,zilikwapuliwa.
Vipi kuhusu 1.5 trilion?Ahaaa,jikite kwenye hoja. Kuna bil 8 zimepotea tunataka tujue zipo wapi. Lissu tusaidie kuhoji maana wewe unahoji mambo mengi.
Polepole kawapata kweli wa kutumwa tumwa hata vichekesho, kwa bk7.Jinai haina mwisho,Dpp anamlia timing.
Kwani billion nane na 1.5tilion ipi pesa ndefu CAG professor asad alishaikagua chadema akatoa hati safi wakati huo CCM wakapata hati chafu wewe unaongea billion nane wanazoongelea wajinga wenu wakina msukumaAhaaa,jikite kwenye hoja. Kuna bil 8 zimepotea tunataka tujue zipo wapi. Lissu tusaidie kuhoji maana wewe unahoji mambo mengi.
Basi maigizo.Sinema?
Mimi nitajua vipi? Yeye mwenyewe aliongea na wanahabari akasema hali ni mbaya sana kifedha.Kaka sijui dada acha porojo. Lissu anafanya campaign zake kwa mujibu wa mipango ya chama chake. Tena ni pamoja na mgombea mwenza wake.
Nimekuuliza, swali hilo unaweza ukaliuliza huko kwenu (Lumumba) ?!
Huwezi fanya judgement based on emotion. Hata mahakamani hawafanyi maamuzi kwa kuangalia emotion za mtu. Always kunakuwepo evidence zinazo support madai yake.Vielelezo ni oral explanation ya mhanga.
Kawaida duniani pote vyama vinachangiwa wakati wa campaign.Mimi nitajua vipi? Yeye mwenyewe aliongea na wanahabari akasema hali ni mbaya sana kifedha.
Ndio maana narudi pale pale. Haya maswali ni ya kumuuliza yeye mwenyewe. Mtafute mfuate muulize kwanini. Yeye ndio mwenye majibu ya hayo.Ahaaaaa. Mbona ufisadi wa ndege zilizonunuliwa Atcl haendi kumuuliza waziri wa fedha kama ni kweli!
I see. Mmiliki wa chama mpaka wanachama hatari kabisa. Hii saccos mwisho wake umefika.Lissu hana mamlaka ya kuhoji kwasababu Mbowe ndo mmiliki halali wa Chadema.
Sawa tunataka ahoji ziko wapi bil 8 za watanzania?He's My President.View attachment 1570878
Swali la kitoto hilo. Na ww unaona umetoa hoja ya msingi!!!! Hahahahah.....watu wakiishiwa hoja bwana.Ndugu Tundu Lissu mgombea wa CHADEMA unapokuwa jukwaani unaongea kwa jazba na kuonyesha kuwa wewe hutaki ufisadi na matumizi mabaya. Tena unaongea kwa kukakamaa kama unataka kumkaba mtu aliyekwapua mali ya umma....