Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Kitendo cha Serekali kuondoa Walinzi na CCTV camera ndani ya eneo lilipo tokea shambulio, kiukweli Serekali iliziguwa, au kugomba kuchunguza kupotea kwa Ben saanane.
sasa kama serikali ndo iliyoondoa CCTV kwenye eneo lile je kuna swali tena juu ya nani aliyemshambulia Lissu?
 
Did anyone stop or barred him from returning back to his motherland?

Moreover, his self imposed exile should not be a reason to instill fear for his life.

None is interested in harming him at all.

This game of political brinkmanship using words like 'Oh! I know who blah blah{....}should stop.
I see mtakatifu Yohana on judgement, it's a matter of time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namhurumia sana Tundu Lisu washauri wake si wazuri mwenzao ni mgonjwa wanamshauri vibaya sana.

Anasahau kwamba Tanzania ni nchi huru yenye watu millioni 60+ anasahau kwamba Tanzania ina utawala wa Sheria, kuna mahakama ambayo ndiyo inashughulikia jinai binafsi namhurumia sana angekuwa ndugu yangu wa Karibu ningemuangukia miguuni nikimsihi arudi Tanzania aachane na Mambo ambayo kimsingi Mungu ndiye hupanga.

kwa mfano kuwa Rais wa nchi huwa ni mipango ya mwenyezi Mungu Tundu Lisu ni masikini asiye na cha kuwaachia watoto wake hata baada ya mauti kumkuta kitu pekee ambacho angeweza kuwaachia watoto wake ni Elimu bora na maadili ya kutii mamlaka za Duniani anayoyafanya Lissu kwa kweli yanasikitisha sana nadhani ashukuru tu kwamba anafanya haya kwenye nchi yenye Rais wenye huruma.

Sidhani kama kuna kiongozi yeyote Duniani anaweza kubali nchi yake kuchezewa kiasi hiki
Mkuu yangekukuta yaliyomkuta lisu sidhani kama ungeandika lugha gongana,pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umoja wa mabunge duniani wasikitishwa na kile kinacho endelea Tanzania baada ya aliyekuwa mbunge Tundu Lissu kutishiwa maisha na kushambuliwa.
Barua hiyo imekujaaa baada ya Tundu Lisu kwenda kulipoti katika umoja huo

. Umoja wa Mabunge waiandikia Barua...kwa Tundu Lissu https://youtu.be/DQLIR9lvfmA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii itakua intro vipi action yake? nimpongeze kwa juhudi anazozifanya na atapata haki yake, Mungu aendelee kumlinda na kumpa maisha marefu!
 
Umoja wa mabunge duniani wasikitishwa na kile kinacho endelea Tanzania baada ya aliyekuwa mbunge Tundu Lissu kutishiwa maisha na kushambuliwa.
Barua hiyo imekujaaa baada ya Tundu Lisu kwenda kulipoti katika umoja huo

. Umoja wa Mabunge waiandikia Barua...kwa Tundu Lissu https://youtu.be/DQLIR9lvfmA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumekucha......

Mabeberu weshaanza kukunjua makucha yao........

Ngoja tumsikie Humphrey Polepole akiwajibu kwa kuwakejeli kuwa "sisi ni Taifa huru, na hatutishwi na mabeberu wa nje"
 
Kumekucha......

Mabeberu weshaanza kukunjua makucha yao........

Ngoja tumsikie Humphrey Polepole akiwajibu kwa kuwakejeli kuwa "sisi ni Taifa huru, na hatutishwi na mabeberu wa nje"
UHURU WA BENDERA HUO
 
Mdogo mdogo mpaka sindano itaingia kwa mlengwa mkuu ..Naona wanamuanzia mbali kama na wenyewe wanavyomfanyia membe

kama vile wanavyowaita wazee kwenye kamati ya maadili ila wakijua lengo lao ni mtu mmoja wanayemuattack.hao wengine wanaitwa kama geresha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitanuka,kitanuka,kitanuka!
Ila kitanuka kwa watanzania wa kawaida, wao watakula bata na kutanua kama kawaida, kwani hakuna kiongozi duniani aliewahi kunyimwa kuishi uhamishoni, ana jaribu hapa na pale ndani ya muda mfupi anafanikiwa na anatoboa maisha kama kawaida kama dawa, Wananchi wanakula msoto na kujifunika ngumi.
 
Back
Top Bottom