Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Hii nayo itapitaa kama zikivyopita nyingine
Kama umeshindwa kuelewans na watu wa nchi yako kwa kuwatetea mabeberu
Sizani kamaa hili litakusaidiaa
Unazid kupoteza mdaa tuu
 
Mjumbe Aleksandra Jerkov wa Kamati ya IPU aelezea kinagaubaga jinsi wanavyowatetea wabunge waliofikwa na madhila mbalimbali ya ikiwemo vitisho, kufunguliwa mashtaka n.k na tawala za kigandamizi zisizofuata utawala wa sheria na haki za binadamu

Source : Inter-Parliamentary Union
 
Mungu aendelee kukupa maisha marefu MH TL. Mungu ni mkubwa sana, kamwe hawawezi kudhulumu haki yako.. na jaribio la kutoa uhai wako litalipwa tu hapa hapa duniani.
 
Barua tu ya Lissu watu wanachanganyikiwa hivi... Akisema chadema nilambeni miguu hakuna atayebisha
 
Kwa mnaunga mkono T. Lissu kumiminiwa risasi na kuvuliwa ubunge eti Ndugai hajui alipo!!
Mnaona ni sawa angekufa, Watanzania wa ajabu nyinyi.

Ila Mungu kataka udhalimu unaofanywa kwa siri kuuweka wazi, pomoja na kujisifu eti tuna amani wakati watu wanapotezwa na kuuwawa!!

Lisu pambana wapelekwe hadi The Hague, wakiendelea kubisha!!
Wababe kina Miloshovik waliishia huko!!
 
ccm wana njaa na pesa za mabeberu lakini kutwa kuwatukana, wanazipenda pesa za wazungu lakini hawataki wazungu wakatae ujinga wa ccm inashangaza sana
Beberu Akishanusa mkojo, huwa hachezi mbali na Mkia wa mbuzi jike. Mbuzi jike hata alie vipi Beberu hasikilizi kilio.
 
Barua tu ya Lissu watu wanachanganyikiwa hivi... Akisema chadema nilambeni miguu hakuna atayebisha
Hayo yapo kwa Chama cha wafuga chatu tumeona Ki-Beberu chenu kinavyo hangaika na watu wenye mtazamo tofauti nacho hata kama ni kwa mambo binafsi kinawalimisha kwa Meno.
 
Kwa mnaunga mkono T. Lissu kumiminiwa risasi na kuvuliwa ubunge eti Ndugai hajui alipo!!
Mnaona ni sawa angekufa, Watanzania wa ajabu nyinyi.

Ila Mungu kataka udhalimu unaofanywa kwa siri kuuweka wazi, pomoja na kujisifu eti tuna amani wakati watu wanapotezwa na kuuwawa!!

Lisu pambana wapelekwe hadi The Hague, wakiendelea kubisha!!
Wababe kina Miloshovik waliishia huko!!
Kwani anafaida gani kwa nchi hii? Sijawah kumsikia hata akiongelea shida za lililokuwa Jimbo lake.
Lisu ni mwanasiasa mpuuzi. Na mpuuzi always anatakiwa kupuuzwa. Hatuna muda na siasa za kipuuzi ambazo hazina maslah kwa taifa. Akae huko huko MIGA watanzania tumemkataa.
 
Hayo ni maoni yako, MIGA wangeenda Mabeberu iwapo mngefuata MAAZIMIO ya ile ripoti Ya "Proffesorial Rabbish" ya kudai fidia yale maZILLION ya kushangaza ulimwengu ....ndo mngejua Kinachofuata baada ya BEBERU kukunusa Mkojo, Huyo Mbuzi jike wenu aliejifungia zizini Angesafiri Nnje ya Afrika kwenda kutafuta Nafuu kwa BEBERU mwingine.
 
Kwani anafaida gani kwa nchi hii? Sijawah kumsikia hata akiongelea shida za lililokuwa Jimbo lake.
Lisu ni mwanasiasa mpuuzi. Na mpuuzi always anatakiwa kupuuzwa. Hatuna muda na siasa za kipuuzi ambazo hazina maslah kwa taifa. Akae huko huko MIGA watanzania tumemkataa.
Nonesense. Watanzania gani uwaongelee wewe baada ya kula viroba.
 
Back
Top Bottom