Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Kitendo cha Serekali kuondoa Walinzi na CCTV camera ndani ya eneo lilipo tokea shambulio, kiukweli Serekali iliziguwa, au kugomba kuchunguza kupotea kwa Ben saanane.
sasa kama serikali ndo iliyoondoa CCTV kwenye eneo lile je kuna swali tena juu ya nani aliyemshambulia Lissu?
 
I see mtakatifu Yohana on judgement, it's a matter of time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yangekukuta yaliyomkuta lisu sidhani kama ungeandika lugha gongana,pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umoja wa mabunge duniani wasikitishwa na kile kinacho endelea Tanzania baada ya aliyekuwa mbunge Tundu Lissu kutishiwa maisha na kushambuliwa.
Barua hiyo imekujaaa baada ya Tundu Lisu kwenda kulipoti katika umoja huo

. Umoja wa Mabunge waiandikia Barua...kwa Tundu Lissu https://youtu.be/DQLIR9lvfmA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii itakua intro vipi action yake? nimpongeze kwa juhudi anazozifanya na atapata haki yake, Mungu aendelee kumlinda na kumpa maisha marefu!
 
Kumekucha......

Mabeberu weshaanza kukunjua makucha yao........

Ngoja tumsikie Humphrey Polepole akiwajibu kwa kuwakejeli kuwa "sisi ni Taifa huru, na hatutishwi na mabeberu wa nje"
 
Kumekucha......

Mabeberu weshaanza kukunjua makucha yao........

Ngoja tumsikie Humphrey Polepole akiwajibu kwa kuwakejeli kuwa "sisi ni Taifa huru, na hatutishwi na mabeberu wa nje"
UHURU WA BENDERA HUO
 
Mdogo mdogo mpaka sindano itaingia kwa mlengwa mkuu ..Naona wanamuanzia mbali kama na wenyewe wanavyomfanyia membe

kama vile wanavyowaita wazee kwenye kamati ya maadili ila wakijua lengo lao ni mtu mmoja wanayemuattack.hao wengine wanaitwa kama geresha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitanuka,kitanuka,kitanuka!
Ila kitanuka kwa watanzania wa kawaida, wao watakula bata na kutanua kama kawaida, kwani hakuna kiongozi duniani aliewahi kunyimwa kuishi uhamishoni, ana jaribu hapa na pale ndani ya muda mfupi anafanikiwa na anatoboa maisha kama kawaida kama dawa, Wananchi wanakula msoto na kujifunika ngumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…