Informer,
Kinachosikitisha ni tabia ya kuyaamini Mataifa ya Ulaya ni bora kuliko Taifa lako. Na cha kusikitisha zaidi kuendelea kuwa kipofu kwenye Mataifa unaojipendekeza Matendo maovu wanayoyatenda dhidi ya Binadamu Wengine.
Hivi umejisahaulisha kama unaojipendekeza kwao Walipigwa kwenye kitega Uchumi chao tegemeo kwa Uchumi wao na Wananchi wao wengi walipoteza Maisha lakini hakuna aliyetoka kwenda kuwalalamikia viongozi wa Marekani kwenye mataifa yao kushindwa kuwalinda.
Hivi hauelewi bado kama unaoenda kwao kujikomba kutwa Wanapanga kutengeneza vitisho kwa Mataifa ambayo wako tofauti na sera na mitazamo nao, Hivi Tundu Lissu na usomi wako ukiwa ughaibuni hujasikia kama huko Kenya Watu wliuwawa katika ya jiji la Kibiashara, Hivi hauelewi huko unakojikomba kama Mwezi uliopita walitaka kuingia vitani na Irani kutokana na kumuua Kiongozi wa Jeshi la Irani na Mpaka ikapelekea madhara kwa abiria wasio na hatia kupoteza Maisha kwenye ndege.
Bora umekuwa Mtanzania, nchi ya wote wenye dini na wasio na dini, na wenye upendo pekee na Huruma iliyotukuka. Kwa tabia zako ungekuwa ni wa Kwenye Mataifa unaojipendekeza kwao Ungekuwa Kuzimu saizi.
Hakuna Taifa lolote Duniani ambalo linaweza kukubali kudhalilishwa kwa tuhuma za uongo na za kusadikika, Wenzako wanatembea Duniani kuutangaza uzuri wa kwao ili kuvutia watalii, Wawekezaji, na kulijenga Taifa kuaminiwa Duniani, lakini kwa Tabia zake huyu anaitwa Lissu ni kupewa kifungo cha Maisha Gerezani.
Tundu Lissu hana tofauti na mbelepejha