Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Ok si mbaya kama Tz ni mwanachama wa IPU si kosa kutafuta haki yake.namtakia kila la heri
 
Informer,
Kinachosikitisha ni tabia ya kuyaamini Mataifa ya Ulaya ni bora kuliko Taifa lako. Na cha kusikitisha zaidi kuendelea kuwa kipofu kwenye Mataifa unaojipendekeza Matendo maovu wanayoyatenda dhidi ya Binadamu Wengine.

Hivi umejisahaulisha kama unaojipendekeza kwao Walipigwa kwenye kitega Uchumi chao tegemeo kwa Uchumi wao na Wananchi wao wengi walipoteza Maisha lakini hakuna aliyetoka kwenda kuwalalamikia viongozi wa Marekani kwenye mataifa yao kushindwa kuwalinda.

Hivi hauelewi bado kama unaoenda kwao kujikomba kutwa Wanapanga kutengeneza vitisho kwa Mataifa ambayo wako tofauti na sera na mitazamo nao, Hivi Tundu Lissu na usomi wako ukiwa ughaibuni hujasikia kama huko Kenya Watu wliuwawa katika ya jiji la Kibiashara, Hivi hauelewi huko unakojikomba kama Mwezi uliopita walitaka kuingia vitani na Irani kutokana na kumuua Kiongozi wa Jeshi la Irani na Mpaka ikapelekea madhara kwa abiria wasio na hatia kupoteza Maisha kwenye ndege.

Bora umekuwa Mtanzania, nchi ya wote wenye dini na wasio na dini, na wenye upendo pekee na Huruma iliyotukuka. Kwa tabia zako ungekuwa ni wa Kwenye Mataifa unaojipendekeza kwao Ungekuwa Kuzimu saizi.

Hakuna Taifa lolote Duniani ambalo linaweza kukubali kudhalilishwa kwa tuhuma za uongo na za kusadikika, Wenzako wanatembea Duniani kuutangaza uzuri wa kwao ili kuvutia watalii, Wawekezaji, na kulijenga Taifa kuaminiwa Duniani, lakini kwa Tabia zake huyu anaitwa Lissu ni kupewa kifungo cha Maisha Gerezani.

Tundu Lissu hana tofauti na mbelepejha
 
Wala hiyo si agenda yake lakini kwakua Tanzania tumezoea kupoteza facts subirini matokeo.
Porojo tu hapo, ametafuta mbeleko ya kurudi Tanzania baada ya Tanzania kumzodoa na maneno yake yasiyo na staha, swali la muhimu, akirudi na hao IPU ni nani atahakikisha usalama wake?
 
Kweli mfa maji haishi kutapatapa.

Ushauri tu Lissu: Kama bado unautaka ubunge muda wa miezi kadhaa tu umebaki, gombea tena sio kulialia tu!

Hakuna mahali Mh Lissu ameutaka huo Ubunge ,yalio mtokea Mh Lissu sote tuna yafahamu usipotoshe Ukweli ulio wazi.
 
Porojo tu hapo, ametafuta mbeleko ya kurudi Tz baada ya Tz kumzodoa na maneno yake yasiyo na staha, swali la muhimu, akirudi na hao IPU ni nani atahakikisha usalama wake?

Muueni tu Sababu ndipo uwezo wenu ulipo fikia kwa kufikiri kila Msumari ni wa kuugonga kwa Sababu mna Nyundo mkononi. , idiot.
 
Did anyone stop or barred him from returning back to his motherland?

Moreover, his self imposed exile should not be a reason to instill fear for his life.

None is interested in harming him at all.

This game of brinkmanship using I know who{....} should stop.
Hopeless argument!
 
Nimeuliza kama IPU wanao huo uwezo au la hasha mkuu.

Wala huna haja ya kulijua hilo ,mlipopanga na kutekeleza ile ilikuwa ni zaidi ya kumvua Ubunge baasi tu alie juu ya yote haya aliikataa dhamira yenu.
 
Back
Top Bottom