Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Hawa wanaigia kwenye Historia mpya,ni suala la mda.Ndugai na magufuli Tanzania haitawasahau kamwe
Huwezi kuwafanya watu wote wajinga wakati wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanaigia kwenye Historia mpya,ni suala la mda.Ndugai na magufuli Tanzania haitawasahau kamwe
Watanzania tunasimama na Raisi wetu.
Viva JPM
Porojo tu hapo, ametafuta mbeleko ya kurudi Tanzania baada ya Tanzania kumzodoa na maneno yake yasiyo na staha, swali la muhimu, akirudi na hao IPU ni nani atahakikisha usalama wake?Wala hiyo si agenda yake lakini kwakua Tanzania tumezoea kupoteza facts subirini matokeo.
Kweli mfa maji haishi kutapatapa.
Ushauri tu Lissu: Kama bado unautaka ubunge muda wa miezi kadhaa tu umebaki, gombea tena sio kulialia tu!
Porojo tu hapo, ametafuta mbeleko ya kurudi Tz baada ya Tz kumzodoa na maneno yake yasiyo na staha, swali la muhimu, akirudi na hao IPU ni nani atahakikisha usalama wake?
Kaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,
Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huko tuendako nao hawataisahau daimaNdugai na magufuli Tanzania haitawasahau kamwe
Hawezi kujibu swali hili Mkuu.None is interested in harming him well n good can you tell us who was interested when he survived 16 bullets?
Nimeuliza kama IPU wanao huo uwezo au la hasha mkuu.Mbona mna panic, Lissu amesema shida yake ni u Bunge?
Ndungai ndio aliyeleta UZI mkuu?Hilo suala kamulize ndungai maana sahivi kashaagiza pempas anaharisha hata IPU hawajafika kumuhoji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hopeless argument!Did anyone stop or barred him from returning back to his motherland?
Moreover, his self imposed exile should not be a reason to instill fear for his life.
None is interested in harming him at all.
This game of brinkmanship using I know who{....} should stop.
Nimeuliza kama IPU wanao huo uwezo au la hasha mkuu.