Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

Hivi zile tafiti za kina Benson Bana ziliishia wapi...nataraji kuona kiwango cha demokrasia Tanzania kupaa kwa kiwango cha flyover huku akitolea mfano bara bara mbili tatu
 
Oky, ingawa soon jipya.hizo jumuiya za kimataifa nyingi hazina maamuzi ya kueleweka
 
Did anyone stop or barred him from returning back to his motherland?

Moreover, his self imposed exile should not be a reason to instill fear for his life.

None is interested in harming him at all.

This game of brinkmanship using I know who{....} should stop.

Tuliza mzuka .... tunataka kumpokea paleee anapofika. Vifaru vyenu msituelekezee
 
Back
Top Bottom