Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kama ni Porojo zisikuumize kichwaPorojo tu hapo, ametafuta mbeleko ya kurudi Tz baada ya Tz kumzodoa na maneno yake yasiyo na staha, swali la muhimu, akirudi na hao IPU ni nani atahakikisha usalama wake?