google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
bado beat tu mambo yaive watu wayarukePicha halijaanza nshadata, picha halijaanza nshachanganyikiwa
TL welcome back home
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado beat tu mambo yaive watu wayarukePicha halijaanza nshadata, picha halijaanza nshachanganyikiwa
TL welcome back home
Ok tufanye Tundu Lisu hajarudi bungeni wewe unafaidika na nini? Masikini kwa roho mbaya. Hata Lisu asipokiwa mbunge hadi ccm ife bado hauwezi mfikia maisha hata roboHakuna Cha IPU Wala JIPU,Tundu Lissu ulitenda makosa ya kutotoa taarifa kwa spika uko wapi na unaendeleaje??tutaona Kama hao IPU endapo watakurudishia ubunge
PAMOJA NA KUMPENDA SANA HUYU NDUGU, UKWELI NI KWAMBA AMEIFANYA TANZANIA IMULIKWE KWA JICHO LA TATU.Kaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,
Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Did anyone stop or barred him from returning back to his motherland?
Moreover, his self imposed exile should not be a reason to instill fear for his life.
None is interested in harming him at all.
This game of political brinkmanship using words like 'Oh! I know who blah blah{....}should stop.
Kaa na pole lako huko ,sisi hatupokei pole za wasaliti,
Kwa sasa tuko bize na Magufuli jembe letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mnachokijuaHILO SWALI NILA KIPUMBAVU I DON'T HAVE TIME FOR YOUR BULLSHIT!
kati ya MEKO na LISSU nani ameivuruga nchiPAMOJA NA KUMPENDA SANA HUYU NDUGU, UKWELI NI KWAMBA AMEIFANYA TANZANIA IMULIKWE KWA JICHO LA TATU. DUNIA INA PICHA TOFAUTI KABISA NA TANZANIA WAIJUAYO. SISI TUNAWEZA KUENDELEA KUMWIMBIA MAPAMBIO MENGI LAKINI AMEVUNJA HESHIMA YA NCHI YETU KWA KIWANGO KIKUBWA MNO!