Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kaongea jambo moja ambalo kila mtu anapaswa kulitafakari na kujiuliza kama ambavyo yeye anajiuliza

Wapinzani ni watu wa kushangaza sana, yani kweli wana matumaini ya kushinda uchaguzi huu. Hahah hakuna rangi wataacha kuona
Kweli nakuunga mkono jamaangu. Hivyo hata tukiitwa "wapumbavu" hapa Tz kama bado tuna watu ka weye baasi bwana nimekubali tu wapumbavu. Hivi kwako wapinzani ni mabaradhuli au? Hivi unajua hata kama ni chama kimoja wakiitisha uchaguzi maanake ni kuwa kujitokeze wa kumpinga aliyeko madarakani?? Sasa kama hawatakaa washinde, uchaguzi ni wa nini?? Hayo mahela yooote wanayokwenda kuyamwaga kwa gharama za uchaguzi ambao hakuna mshindani si akheri wangenunua mchele wakagawia kila familia Tz tukala wali??
 
Sass kwa akili yako kutakua na uchaguzi huru na haki wakati time sio huru haina man power?maded Ndio wasimamizi wanaanzanje kumbetray Boss wao?
 
Kwa Hiyo Kwako Ukombozi wa nchi ni katika kuchagua na kuchaguana kupitia SANDUKU LA KURA eee?!!

Kwako UKOMBOZI wa WANYONGE wale waliokwenda kuishusha bendera ya UNION JACK ni wa kizwazwa?!!!


Kwako Ukombozi wa MTANZANIA kiuchumi,kielimu,kiafya hauna maana yoyote na Ni mpaka pale PENDEKEZO LA UWEPO WA HIYO IITWAYO TUME HURU ukipatikana?!!!!

Loooh kweli NYUMBU...
 
Tulia sindano ikuingie vyema maungoni ili upone kichaa chako
 
Huu ujumbe msione kama kautoa kwa bahati mbaya jamani
Hiyo Clip yenyewe hii hapa:

hata mimi nimejiuliza , ina maana amekubali kujitoa mhanga tayari kwenye uchaguzi huu--- ameuliza: "are we going to be alive?" Ndio swali kauliza
 
Ndiyo maana mh Lissu kaamua kuitoa hiyo na siyo kwa bahati mbaya ni makusudi kabisa
Of course hakuna uchaguzi huru na wa haki, Magufuli ashawaahidi mara nyingi sana na akaonyesha mifano kwenye chaguzi ndogo kadhaa zilizopita. Ni mpumbavu pekee anayetegemea vinginevyo.
 
Sipati picha kama kungekuwa hakuna hii kitu msiba hali ingetisha sana na Tanzania ingeingia kwenye vitabu vya historia
Jiwe asipobadilika kuna jambo kubwa sana linafuata nyuma ya pazia, yote kwa yote tumshukuru Mungu huu msiba utakuwa umepunguza morali ya wananchi juu ya ujio wa Lissu.
 
Can we honestly say what has changed in our election infrastructure to warrant a different outcome in the coming general election?
 
Zanzibar Cuf waligoma kushiriki, nini faida yake walipata?
 
Of course hakuna uchaguzi huru na wa haki, Magufuli ashawaahidi mara nyingi sana na akaonyesha mifano kwenye chaguzi ndogo kadhaa zilizopita. Ni mpumbavu pekee anayetegemea vinginevyo.
Kabisa, haya majinga ya mataga. Its better yakubali kuwa yatatumia goli la mkono kuliko kujifanya yako perfect, mara tume iko huru.Wakati mfano wa haraka ulionekana uchaguzi serikali za mitaa.
 
Hiyo Clip yenyewe hii hapa:

hata mimi nimejiuliza , ina maana amekubali kujitoa mhanga tayari kwenye uchaguzi huu--- ameuliza: "are we going to be alive?" Ndio swali kauliza
Mkuu, maCCM yameondoa sauti kwenye hiyo video aisee.
 
Chadema Ni Waigizaji Wanaochosha Kuwaangalia na kuwasikiliza😁😁
 
Yameanza kutimia huko katika Jimbo la Waziri Mkuu ambako mgombea Ubunge wa ACT Wazalendo katekwa na kisha kutupwa akiwa amepigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…