Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM wanaogopa sana maandamano ya amani, sijui kuna nini nyuma ya Pazia?!!!!
 
Kumbe siku hizi huna heshima, mtu ambaye hata Rais Magufuli alimtaja kwa weredi na kwamba alimuomba asigombee urais ili ampe uwazili mkuu.

Wewe ni nani unamdhihaki Lissu??
 
Tatizo ni kuteuliwa kwa yule mtu aliyekuwa anawanyima watu haki ya kuishi.
 
Sometimes nachukia nchi Yangu na watu wake wote kwa ninayoyaona ila nikisikia maneno kama haya kutoka kwa watu kama lissu huwa najipa moyo kuwa the day is coming no matter how long will take us
 
We shoga usiongee lolote maana ubongo wako umejaa non sense
 
Elimu.... Elimu.... Elimu
 
Katiba ya hovyo imeleta wapinzani wa hovyo sio?
 
Hii point Mkuu. Naunga mkono hoja.
Tena huyo atakayeshikilia kwa hizo siku 90 asiwe kwenye orodha ya marais hadi labda achaguliwe kwa kura halali baada ya hicho kipindi cha mpito. Hii itatusaidia kama Taifa kutokuwa na Makamu wa Rais mchawi kama ambavyo aliwahi kusema RC Chalamila wakati fulani. Hii ya kuongozwa na mtu ambaye hamkuchagua kwa hiyo nafasi ni JANGA kwa Taifa!
 
TUJIFUNZE KUISHI NA WATU AINA ZOTE, WAPO WATU AMBAO BY NATURE HAWANA SHUKURANI, NA HILI HUSABABISHWA NA MAISHA YA VIJANA KULELEWA KATIKA MFUMO USIO NA ADABU WALA TABIA NJEMA.
 
Kati ya luka na lisu nani kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…