Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe siku hizi huna heshima, mtu ambaye hata Rais Magufuli alimtaja kwa weredi na kwamba alimuomba asigombee urais ili ampe uwazili mkuu.Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Embu thibitisha kwa kina hicho unacho mpondea Mzalendo wa kweli LissuUzalendo upi zaidi ya ujinga na uhayawani tu
Hawezi kutofautisha uzalendo na uzalendo uchwaraTangu lini mtu punguani kama wewe ukaweza kujua hata maana ya uzalendo?
Bomu la kienyeji, au siyo?Ni wa hovyo kweli huyu mama. Bomu kabisa
We shoga usiongee lolote maana ubongo wako umejaa non senseLi Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Elimu.... Elimu.... ElimuLi Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Katiba ya hovyo imeleta wapinzani wa hovyo sio?Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.
Akitoa mfano wa huyu wa sasa:
1. Kauza bandari kwa DPW
2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.
3. Mfumko wa bei usio na mantiki
4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.
5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri
6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa
7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali
8. Kukosa mvuto kwa raia!
Hii point Mkuu. Naunga mkono hoja.CHADEMA pale kwenye minimum reforms kwenye katiba ya sasa;katiba itamke kuwa endapo Rais aliyechaguliwa kwa kura na Wananchi akifariki basi Makamu wa Rais ataapishwa kuwa Rais wa mpito kwa kipindi cha siku 90 uku serikali ikiandaa uchaguzi Mkuu.
Samia katupiga na kitu kizito kichwani aisee,hapana kwa kweli!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hapana imeleta Rais wa hovyo Kuwahi kutokea!Katiba ya hovyo imeleta wapinzani wa hovyo sio?
Kwa nini Mkuu?Tanzania inakosa vijana wanaosema ukweli.
TUJIFUNZE KUISHI NA WATU AINA ZOTE, WAPO WATU AMBAO BY NATURE HAWANA SHUKURANI, NA HILI HUSABABISHWA NA MAISHA YA VIJANA KULELEWA KATIKA MFUMO USIO NA ADABU WALA TABIA NJEMA.Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.
Akitoa mfano wa huyu wa sasa:
1. Kauza bandari kwa DPW
2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.
3. Mfumko wa bei usio na mantiki
4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.
5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri
6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa
7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali
8. Kukosa mvuto kwa raia!
Kati ya luka na lisu nani kichaaLi Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.
Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Maandamano lazima