Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkikosa hoja za kujibu ndio mnashoboka utumbo kama huu!! Shame on you!! Una matatizo makubwa sana kichwani!

Mwashambwa ni punguani kabisa. Hakuna siku amewahi kutoa mchango wa maana hapa jukwaani. Huyu ni wa kumpuuza au kumsamehe. Naye kazaliwa hivyo; ni binadamu. Maana hata mtu akikosa akili kabisa kama alivyo huyu mwenzetu, bado ni mwanadamu.
 
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.

Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.

Akitoa mfano wa huyu wa sasa:

1. Kauza bandari kwa DPW

2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.

3. Mfumko wa bei usio na mantiki

4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.

5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri

6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa

7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali

8. Kukosa mvuto kwa raia!
Lissu huyohuyo si ndio alikuwa anazunguka ana mponda Magufuli?
 
CHADEMA pale kwenye minimum reforms kwenye katiba ya sasa;katiba itamke kuwa endapo Rais aliyechaguliwa kwa kura na Wananchi akifariki basi Makamu wa Rais ataapishwa kuwa Rais wa mpito kwa kipindi cha siku 90 uku serikali ikiandaa uchaguzi Mkuu.
Samia katupiga na kitu kizito kichwani aisee,hapana kwa kweli!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app

Huyu mama alipoharibu kabisa ni kugawa bandari zetu na hifadhi zetu za asili. Hapa kwa kweli hastahili kusamehewa.
 
Mwashambwa ni punguani kabisa. Hakuna siku amewahi kutoa mchango wa maana hapa jukwaani. Huyu ni wa kumpuuza au kumsamehe. Naye kazaliwa hivyo; ni binadamu. Maana hata mtu akikosa akili kabisa kama alivyo huyu mwenzetu, bado ni mwanadamu.
Sure
 
Niliwahi kukuambia kuwa hoja zote zinazohitaji akili kuchangia, wewe ni vema ukatulia. Maana huwezi kutumia kitu ambacho huna. Hoja inahitaji utumie akili katika kuchangia, huna akili, unadhani bado utaweza kuchamgia chochote zaidi ya kuropoka?
😁😁
 
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.

Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.

Akitoa mfano wa huyu wa sasa:

1. Kauza bandari kwa DPW

2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.

3. Mfumko wa bei usio na mantiki

4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.

5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri

6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa

7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali

8. Kukosa mvuto kwa raia!
Yaani anayejiita Rais mtarajiwa anachechemea? Hapana, ikitokea vita ataongozaje jeshi?
 
Hili la bei za vyakula ndilo linaloharibu utulivu wa nchi.
Huwezi kuwa na utulivu huku ukiwa na njaa.
Haiwezekani.
Hivyo kama viongozi wetu wanataka amani iendelee kuwepo, wajitahidi kutuondolea mfumko wa bei hasa hasa kwa vyakula na nauli.
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Kumbe ulishaingia kwenye salary schedule, sikuhizi hatuoni.

Napatikana kwa namba 0911 1190 9011.
 
Magufuli alikuwa kichaa- hilo alikiri mwenyewe. The man was a sadist.
Kufuata sheria ni kuuza Ngorongoro na bandari?
Unaamini ni kweli wamasai wamehama kwa hiari?
Uwepo wa ccm ni laana
Bora ukichaa wa Magufuli ulikuwa na manufaa kwa wengi.
Na ofcourse tunataka watu vichaa kama yeye ili tulio wengi tuweze kuifurahia keki ya Taifa.
 
24/01/2024 maandamano lazima.
Nitakuwepo msitari wa mbele kabisa.
Tena ni maandamano ambayo hayatakuwa na ukomo.
 
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.

Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.

Akitoa mfano wa huyu wa sasa:

1. Kauza bandari kwa DPW

2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.

3. Mfumko wa bei usio na mantiki

4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.

5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri

6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa

7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali

8. Kukosa mvuto kwa raia!
Tundulisu mwenyewe wa ovyooooo
 
Back
Top Bottom