Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkikosa hoja za kujibu ndio mnashoboka utumbo kama huu!! Shame on you!! Una matatizo makubwa sana kichwani!

Mwashambwa ni punguani kabisa. Hakuna siku amewahi kutoa mchango wa maana hapa jukwaani. Huyu ni wa kumpuuza au kumsamehe. Naye kazaliwa hivyo; ni binadamu. Maana hata mtu akikosa akili kabisa kama alivyo huyu mwenzetu, bado ni mwanadamu.
 
Lissu huyohuyo si ndio alikuwa anazunguka ana mponda Magufuli?
 

Huyu mama alipoharibu kabisa ni kugawa bandari zetu na hifadhi zetu za asili. Hapa kwa kweli hastahili kusamehewa.
 
Mwashambwa ni punguani kabisa. Hakuna siku amewahi kutoa mchango wa maana hapa jukwaani. Huyu ni wa kumpuuza au kumsamehe. Naye kazaliwa hivyo; ni binadamu. Maana hata mtu akikosa akili kabisa kama alivyo huyu mwenzetu, bado ni mwanadamu.
Sure
 
Niliwahi kukuambia kuwa hoja zote zinazohitaji akili kuchangia, wewe ni vema ukatulia. Maana huwezi kutumia kitu ambacho huna. Hoja inahitaji utumie akili katika kuchangia, huna akili, unadhani bado utaweza kuchamgia chochote zaidi ya kuropoka?
😁😁
 
Yaani anayejiita Rais mtarajiwa anachechemea? Hapana, ikitokea vita ataongozaje jeshi?
 
Hili la bei za vyakula ndilo linaloharibu utulivu wa nchi.
Huwezi kuwa na utulivu huku ukiwa na njaa.
Haiwezekani.
Hivyo kama viongozi wetu wanataka amani iendelee kuwepo, wajitahidi kutuondolea mfumko wa bei hasa hasa kwa vyakula na nauli.
 
Kumbe ulishaingia kwenye salary schedule, sikuhizi hatuoni.

Napatikana kwa namba 0911 1190 9011.
 
Magufuli alikuwa kichaa- hilo alikiri mwenyewe. The man was a sadist.
Kufuata sheria ni kuuza Ngorongoro na bandari?
Unaamini ni kweli wamasai wamehama kwa hiari?
Uwepo wa ccm ni laana
Bora ukichaa wa Magufuli ulikuwa na manufaa kwa wengi.
Na ofcourse tunataka watu vichaa kama yeye ili tulio wengi tuweze kuifurahia keki ya Taifa.
 
24/01/2024 maandamano lazima.
Nitakuwepo msitari wa mbele kabisa.
Tena ni maandamano ambayo hayatakuwa na ukomo.
 
Tundulisu mwenyewe wa ovyooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…