Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Sijui ulisoma hadi darasa la ngapi! Na hao waalimu wako walipata taabu kwako kukutoa ujinga ambao hadi muda huu haujaondoka.
Chawa mchawa!
 
1705768456193.png

Nacheka Tundu hilo.. aache uongo jamani.
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Aisee😧😧😧..

Kama Tundu Lissu ni kichaa wewe Lucas mwashambwa na ndugu yako Paul Makonda tuwaiteje? Wendawazimu? Wajinga au wehu?
 
Kuna watu wapumbavu kama sio wajinga mfano mtoa mada , kwamba naye anajiona ni mwanasiasa nguli mpaka Lissu kumuita li lissu , laana amabyo inawakumba vijana wa ccm uchwara , wasio jua hata chama kilifikaje pale , japo kimekufa kifo kibaya sana ni kubwa sana ,

Sasa eti ndo hawa wanajiona wanaweza ifufua ccm, akiwemo Makonda sasa eti na Chimbi ndo wanamuona kama game changer ,
 
Acha kuchafua watu wewe.kama una ushahidi nenda mahakamani.ninyi manyumbu na mafisi wa CHADEMA ni watu wa hovyo sana na ambao hampaswi kusikilizwa kwa chochote kile. Ninyi si ndio mlimtukanaga Lowassa kwa miaka nane kuwa ni fisadi na mwizi? Je 2015 hamkumkaribisha ? Hamkupatia ugombea urais? Kama siyo manyumbu na mahayawani mnataka tuwaite akina nani nyie?
Sasa huoni kuwa alipata wabunge wengi na kula nyingi kuliko wagombea wasafi waliotangulia miaka ya nyuma? Au unasemaje hapo?
 
Nakubalina na Lissu, katiba ya hovyo sana hii. Kwanza katiba imezeeka, ilikuwa kwa ajili ya chama kimoja, haifai ila miccm inaikumbatia coz ina mianya mingi.
 
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.

Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.

Akitoa mfano wa huyu wa sasa:

1. Kauza bandari kwa DPW

2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.

3. Mfumko wa bei usio na mantiki

4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.

5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri

6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa

7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali

8. Kukosa mvuto kwa raia!
Hivi kuna kiumbe wa ovyo kama Tundu lissu?
 
Bado hujasema!
Yaani useme.
Mama is there as a President of URT.
Hutaki hamia Burundi
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.

Ebu jibu hoja zake sio kum-attack,unaonyesha jinsi ulivyo na upeo mdogo
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Kwenu kuna umeme?
 
Alisahau kusema inatuletea watu wa hivyo aka machawa Kama wewe
 
Magufuli alikuwa kichaa- hilo alikiri mwenyewe. The man was a sadist.
Kufuata sheria ni kuuza Ngorongoro na bandari?
Unaamini ni kweli wamasai wamehama kwa hiari?
Uwepo wa ccm ni laana
 
Mwashambwa, jukwaa hili siyo kwaajili ya watu punguani kama wewe. Hili ni jukwaa la hoja na siyo huu upuuzi uliouweka.
Kwenda zako huko wewe.yaani amtukane Rais wetu halafu unaleta ujinga wako hapa wewe? Huna akili kama unatetea ujinga huo wa kumdhalilisha Rais wetu.
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Mjinga ni yule aliyepata 0 kidato cha nne anatembelea upepo wa PhD za kupewa.
 
Acha kuchafua watu wewe.kama una ushahidi nenda mahakamani.ninyi manyumbu na mafisi wa CHADEMA ni watu wa hovyo sana na ambao hampaswi kusikilizwa kwa chochote kile. Ninyi si ndio mlimtukanaga Lowassa kwa miaka nane kuwa ni fisadi na mwizi? Je 2015 hamkumkaribisha ? Hamkupatia ugombea urais? Kama siyo manyumbu na mahayawani mnataka tuwaite akina nani nyie?

Wewe ni punguani. Siku zote tunavyokueleza, kwa sababu ni punguani hakuna kinachoingia akilini.

Ungekjwa japo na akili angalao ile ya kawaida ungetambua kuwa katiba yetu hii mbaya iwapa mamlaka polisi pekee yao kumfungulia mtu kesi ya jinai, na siyo mwingine yeyote.

Yaani hata mtaa mzima wakijua kuwa Mwashambwa ni kibaka, hawana uwezo wa kumpeleka Mwashambwa mahakamani. Ni polisi pekee yao ndio waliipewa mamlaka hayo. Hivyo ndivyo katiba yetu hii mbaya inavyotaka. Lakini wewe kwa sababu akili ni kibaba, huyajui haya yote.
 
Tangia lini na wewe ukawa na hoja zenye mashiko na kueleweka ? Tangia lini nyumbu na fisi akawa na akili?
Niliwahi kukuambia kuwa hoja zote zinazohitaji akili kuchangia, wewe ni vema ukatulia. Maana huwezi kutumia kitu ambacho huna. Hoja inahitaji utumie akili katika kuchangia, huna akili, unadhani bado utaweza kuchamgia chochote zaidi ya kuropoka?
 
Back
Top Bottom