...duh! Naye konda bila kuwaambia abiria kuwa hana ufundi huo wala kwamba kuendesha gari la abiria ni jambo nyeti linahitaji umakini, anachekelea na kuona ni bahati toka mbinguni, konda anaona Mungu anampenda na kuna abiria wanamuona jasiri- roho za abiria hazioni kuwa kitu ...loh!Konda ambaye hajui na Wala hajawahi hata kuwaza kama ipo siku atakua dereva wa kuendesha gari, ghafla dreva wake kafariki wakiwa njiani abiria wakamtupia konda kiti Cha mbele na kumuamuru awapeleke wanapoenda.... Unategemea Nini?