Pre GE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Konda ambaye hajui na Wala hajawahi hata kuwaza kama ipo siku atakua dereva wa kuendesha gari, ghafla dreva wake kafariki wakiwa njiani abiria wakamtupia konda kiti Cha mbele na kumuamuru awapeleke wanapoenda.... Unategemea Nini?
...duh! Naye konda bila kuwaambia abiria kuwa hana ufundi huo wala kwamba kuendesha gari la abiria ni jambo nyeti linahitaji umakini, anachekelea na kuona ni bahati toka mbinguni, konda anaona Mungu anampenda na kuna abiria wanamuona jasiri- roho za abiria hazioni kuwa kitu ...loh!
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Mjibu kwa hoja? Kwani ww ulipata malezi mazuri ya wazazi wako?
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Lisu ni kati ya wale watu ambao utengamano wa uwezo wao wa kufikiri hutegemeana na majira ya mwezi. Sasa hivi naona mwezi uko kona!
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Akiwekwa Lisu na wewe nani ataonekana mjinga.
 
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.

Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.

Akitoa mfano wa huyu wa sasa:

1. Kauza bandari kwa DPW

2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.

3. Mfumko wa bei usio na mantiki

4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.

5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri

6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa

7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali

8. Kukosa mvuto kwa raia!
Hizi hoja zimejisimamia zenyewe.
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
WEWE NDIYE MJINGA. mTU MAKINI HAWEZI KUWA USALAMA. BADALA YA KUJADILI HOJA WATUKANA. MATUSI HAYO YAKURUDIE MWENYEWE NA ALIYEKUTUMA. HILI NI JAMVI LA WATU WENYE AKILI, KAMA HUNA SI LAZIMA UCHANGIE.
 
Katiba hii hii ilimfanya akawa mbunge, na hakuukataa, ni hii imempa uhalali wa kuwa makamu wa mbowe na hajaukataa

Lakini nyani haoni kundule, kuna katiba mbovu kama ya chadema inayomfanya mwenyekiti wake akae madarakani hadi afe kwa uzee!
 
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.

Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.

Akitoa mfano wa huyu wa sasa:

1. Kauza bandari kwa DPW

2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.

3. Mfumko wa bei usio na mantiki

4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.

5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri

6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa

7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali

8. Kukosa mvuto kwa raia!
Wananchi wanaotumia Bima ya Afya ya NHIF kukosa huduma ya dawa mahospitalini, barabara za maeneo mengi ya miji mbovu, watendaji wa serikalikukwapua pesa za umma na kujilimbikizia mali
 
Li Tundu Lissu ni likichaa tu .alishakosa malezi mazuri ya mama yake tokea akiwa mdogo na ndio maana ni mkubwa lakini kubwa jinga tu.maana anaongeaga kwa kuropoka ropoka tu utafikiri mtu aliyekatika mishipa ya fahamu au aliyepata ajali na kupata majeraha ya kichwa na kutikisa ubongo. Mtu unayejitambua na mtu mzima huwezi ukawa unaropoka pasipo heshima wala adabu.

Lissu ni mjinga sana tena sana. Ni mkubwa mwili tu lakini hana akili ya Kiutu uzima. Ni mtu aliyekosa staha na adabu.ni.mtu mzima lakini.amejaa mihemuko na ukurupukaji kama vuta bangi lililo kubuhu.
Kwanza Tundu lissu sio level Yako wewe uliezaliwa vichakani kutwa kulamba matyako ya wajinga wenzako
 
Kuna watu watasema katikana la hasha!
Ni vyema tukaanza kudadavua kauli yake na ukweli ulivyo kwa sasa kabla ya kuanza kuhoji.
 
Katiba hii hii ilimfanya akawa mbunge, na hakuukataa, ni hii imempa uhalali wa kuwa makamu wa mbowe na hajaukataa

Lakini nyani haoni kundule, kuna katiba mbovu kama ya chadema inayomfanya mwenyekiti wake akae madarakani hadi afe kwa uzee!
Unaijua katiba ya chadema maharage wewe!
 
Katiba hii hii ilimfanya akawa mbunge, na hakuukataa, ni hii imempa uhalali wa kuwa makamu wa mbowe na hajaukataa

Lakini nyani haoni kundule, kuna katiba mbovu kama ya chadema inayomfanya mwenyekiti wake akae madarakani hadi afe kwa uzee!
Watu wanapambana kupitia katiba mbovu ilikuiondoa katiba hii ni ya chama kimoja tukiendelea kuichekea nchi yetu itazidi kua maskini kuliko nchi zote barani Afrika
 
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.

Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali.

Akitoa mfano wa huyu wa sasa:

1. Kauza bandari kwa DPW

2. Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na Loliondo kwa nguvu ili wakae Waarabu.

3. Mfumko wa bei usio na mantiki

4. Ukali wa maisha hasa kwa wananchi wanyonge na wa hali ya chini.

5. Kutowajibika kwa baadhi ya watendaji wake ipasavyo wakiwamo mawaziri

6. Matumizi makubwa (anasa) kwa serikali ya sasa

7. Ongezeko la tozo na kodi mbalimbali

8. Kukosa mvuto kwa raia!
Hatuna Raisi na anadhani bado wananchi wanamtaka, hii nchi basi tu.Yaan Rais wa nchi na wapambe wake wote wanadhani watanzania wanapenda sana ugumu wa maisha ilihali wao na makundi yao wananeemeka.The day is coming.
 
Inasikitisha sana kwa kweli.
Sina uhakika kama huwa wanapita mitaani au mitandaoni walau kusikia maoni ya walio wengi kuwahusu.
Raia wengi wamechoshwa na hali ilivyo.
Wengi wanataka mabadiliko kamili.
Na hayo mabadiliko hayawezi kuletwa na hii Regime ambayo tayari imeshindwa.
 
Back
Top Bottom