Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi.
Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na hawawezi kuwa kila siku wanahudhuria mahakamani na kuacha kazi zao za kuwaingizia kipato .
Ni lazima lissu afahamu watanzania wanaishi kwa kujitafutia ili wapate chakula mezani pao . Sasa mtu hawezi kuacha kwenda kazini kwake halafu aende mahakamani wakati anajua anadaiwa kodi ya nyumba ,unga umeisha ,umeme luku imekata ,bill ya maji ipo mezani pake halafu aende Sehemu ambako anajua hakuna cha nyongeza wala haendi kupata hata Mia zaidi ya kukauka midomo tu .
Lissu itafika sehemu akili itamkaa sawa tu na ataanza kuona uhalisia kuwa watu hawapendezwi na kauli zake na maneno ambayo yamekuwa yakitoka kinywani pake .
Huu ni Mwanzo tu ipo siku ataangua kilio kikali sana mahakamani pale atakapokuta hakuna mtu yeyote yule aliyehudhuria kusikiliza mwenendo wa kesi zake. Mtu huwezi kuwa kila siku anakwenda kuuza sura mahakamani wakati mfukoni huna hata mia .
halafu mwisho wa siku viongozi wanagawana posho nakwenda kula Minofu minono kwenye hotel za hadhi ya nyota tano halafu wewe unarudi kupigwa vumbi na njaa kwako huko na wanao unakuta wanalia njaa mpaka wamechoka .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.