Tundu Lissu: Katibu Mkuu watu ni wachache, maana yake hujafanya mobilization?

Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni au nenda Gerezani ukakae na lissu
Kajitibie kwanza hizo fungus na UTI sugu ndiyo urudi hapa, nia yako uwaambukize tu watu ndiyo maana hutulii.
 
Mitihani ya Lissu ni ya kujitakia
"Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na muwe mashahidi kwa uadilifu. Wala chuki ya watu fulani isiwapelekee kutokuwa waadilifu. Fanyeni uadilifu; huo ndio ulio karibu zaidi na uchamungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu Anazo habari za mnayoyatenda." (Surah Al-Ma'idah 5:8)
 
Mjomba Lissu mbona anazingua kimtindo

Alisemaga atagomea kula ikawa nitagomea nitagomea nitagomea
Kitambi na mgomo wa kula wapi na wapi🤠🤠

Inaonekana akatafuta chengine kile
atakiweza kugomea ndio akaja na kugomea
kuchana nywele😂😂

Wenye Vitambi wenzie wakamwambia apo mwenyekiti tupo pamoja nasisi tunaingia kwenye Mgomo rasmi 😜😜😜 nchi hii ngumu sana
 
Attachments

  • 20260703_172444.jpg
    20260703_172444.jpg
    387.9 KB · Views: 16
Cha ajabu ni kipi hapo wakati hao ni Mwenyekiti na Katibu wake?!!

Hata kama angekuwa huru na wako wote Ofisini ..ni wajibu wa Mwenyekiti kumpatia maelekezo Katibu wake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3634120

Yes katibu mkuu anatakwa kwenda kubeba watu na mafuso,

Anatakiwa kugawa tishet na kuandaa ubwabwa

Haoni wenzake ccm ? Wanavyobeba watu na matrecta?

Kuna wengine juzi wametangaza kuna vifo ili kuvuta watu

So mnyika lazima aamke
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi.

Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na hawawezi kuwa kila siku wanahudhuria mahakamani na kuacha kazi zao za kuwaingizia kipato .

Ni lazima lissu afahamu watanzania wanaishi kwa kujitafutia ili wapate chakula mezani pao . Sasa mtu hawezi kuacha kwenda kazini kwake halafu aende mahakamani wakati anajua anadaiwa kodi ya nyumba ,unga umeisha ,umeme luku imekata ,bill ya maji ipo mezani pake halafu aende Sehemu ambako anajua hakuna cha nyongeza wala haendi kupata hata Mia zaidi ya kukauka midomo tu .

Lissu itafika sehemu akili itamkaa sawa tu na ataanza kuona uhalisia kuwa watu hawapendezwi na kauli zake na maneno ambayo yamekuwa yakitoka kinywani pake .

Huu ni Mwanzo tu ipo siku ataangua kilio kikali sana mahakamani pale atakapokuta hakuna mtu yeyote yule aliyehudhuria kusikiliza mwenendo wa kesi zake. Mtu huwezi kuwa kila siku anakwenda kuuza sura mahakamani wakati mfukoni huna hata mia .

halafu mwisho wa siku viongozi wanagawana posho nakwenda kula Minofu minono kwenye hotel za hadhi ya nyota tano halafu wewe unarudi kupigwa vumbi na njaa kwako huko na wanao unakuta wanalia njaa mpaka wamechoka .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3634120
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Wale mnaowazoa kwenda kujaza mikutano ya Mwigulu na Samia siku ya kazi wao huwa ni wazururaji?
 
Rais Samia Ndio Jawabu la Matatizo ya watanzania na siyo kama huyo Lissu ambaye kazi yake ni Kupiga Mdomo tu
 
Hayo maneno ya Lissu yanaashiria utawala wa wazi na uwajibikaji kwa mujibu wa taratibu zilizoko.

- Kama utaratibu ni kuhamasisha, basi hamasa ifanyike ili watu kwa ridhaa watende jambo husika.....sio kununua watu na kuwajaza kwenye malori.
- Endapo kiongozi aliyepewa majukumu ameshindwa kutimiza, ni haki kwa aliye juu yake kuhoji kwa uwazi ili kuepusha tabia za uzembe na upendeleo kama ujinga huo ulivyo huko upande wa mboga mboga.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi.

Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na hawawezi kuwa kila siku wanahudhuria mahakamani na kuacha kazi zao za kuwaingizia kipato .

Ni lazima lissu afahamu watanzania wanaishi kwa kujitafutia ili wapate chakula mezani pao . Sasa mtu hawezi kuacha kwenda kazini kwake halafu aende mahakamani wakati anajua anadaiwa kodi ya nyumba ,unga umeisha ,umeme luku imekata ,bill ya maji ipo mezani pake halafu aende Sehemu ambako anajua hakuna cha nyongeza wala haendi kupata hata Mia zaidi ya kukauka midomo tu .

Lissu itafika sehemu akili itamkaa sawa tu na ataanza kuona uhalisia kuwa watu hawapendezwi na kauli zake na maneno ambayo yamekuwa yakitoka kinywani pake .

Huu ni Mwanzo tu ipo siku ataangua kilio kikali sana mahakamani pale atakapokuta hakuna mtu yeyote yule aliyehudhuria kusikiliza mwenendo wa kesi zake. Mtu huwezi kuwa kila siku anakwenda kuuza sura mahakamani wakati mfukoni huna hata mia .

halafu mwisho wa siku viongozi wanagawana posho nakwenda kula Minofu minono kwenye hotel za hadhi ya nyota tano halafu wewe unarudi kupigwa vumbi na njaa kwako huko na wanao unakuta wanalia njaa mpaka wamechoka .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3634120
Clip hii hapa!

View: https://youtu.be/UwQKVtaGop4
 
Huna taarifa wewe kidampa kwamba kumuona tu Lissu gerezani watu wanazuiliwa .?

Watu wanazuiliwa kuingia mahakamani kama mlivyokimbilia kuzuia mikutano kwa kisingizio cha tishio la amani.

Hata msingi wa kesi inayoendelea ni kunyimwa haki ya kuonana na mawakili wake kwa faragha.

Ulisema chama kimekufa hakitaweza kufikisha hata milioni , sasa michango imefikia hapa wewe kidampa wa buku 7

View: https://x.com/i/status/2079437834667053512
 
Kila mtu yuko Dar? Au kwakuwa ww unashinda ofisi za ccm hapo Lumumba basi unadhani kila mtu ni kama ww?
Naona umeanza hadi kuhamisha magoli . Kama mnampenda si mpande magari hata ya usiku mwende Dar? Kwani Dar ni Mbinguni?
 
Huna taarifa wewe kidampa kwamba kumuona tu Lissu gerezani watu wanazuiliwa .?

Watu wanazuiliwa kuingia mahakamani kama mlivyokimbilia kuzuia mikutano kwa kisingizio cha tishio la amani.

Hata msingi wa kesi inayoendelea ni kunyimwa haki ya kuonana na mawakili wake kwa faragha.

Ulisema chama kimekufa hakitaweza kufikisha hata milioni , sasa michango imefikia hapa wewe kidampa wa buku 7

View: https://x.com/i/status/2079437834667053512

Acha uongo wako hapa wewe. Si mlikuwa mnajifanya mnampenda sana ? Sasa mbona hata mahakamani hamuendi?
 
Kweli jamaa kachanganyikiwa!!!
Sasa watu wakiwa wachache ama wengi itasaidia nini katika kesi yake?
Labda hii clip iwe ni AI otherwise jamaa akili zimeanza kumruka.
Unafanya mchezo na kukaa ndani, siku moja utaiona kama mwezi.
Clip ni Uhalisia kabisa na ya ukweli . Lissu ameanza kulialia
 
Back
Top Bottom