Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Mimi ni mwanachama mwandamizi. Hatujawahi kumwambia mtu yoyote afunge mdomo. Ndiyo maana hata wewe uko huru kuisema CHADEMA japokuwa siyo mwanachamaHakuna kufunga Mdomo hapa. Naona mlizoea kula hela za chama na kuwaambia wana CHADEMA wafunge midomo. Sasa mwisho wenu Umewadia