Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Mjibu Mwenyekiti wako kwamba kwanini umemtelekeza ?Inakuwasha kitu gani wewe Lumumba?
ebu fuatilia ya kwenu
Mitihani ya Lissu ni ya kujitakiaSisi waislam tumetakiwa tuwe na huruma sana binaadam mwenzio anapokuwa ktk mitihani. Nyinyi jee?
Itafika Sehemu hata hao wachache wataacha kabisa kwenda mahakamani kufuatilia vituko vyake vya kupiga kelelealitaka katibu amobilize watu waende kuona anavypiga mayowe na kurusha mikono juu mahakamani au waende kumtazama alivyotibua minywele kama mwendawazimu?
kiki zingine zinatafutwa kindezi sana aise,dah!
Nyege za kinyeoni hizo zinakusumbua.Mahakamani hujaenda halafu unajifanya kumuunga mkono Lissu kinafiki
viongozi wa chadema ni muhimu sana wamueleze Lisu ukweli tu,Itafika Sehemu hata hao wachache wataacha kabisa kwenda mahakamani kufuatilia vituko vyake vya kupiga kelele
Hii kesi ya leo imezaliwa baada ya ile kesi ya mchongo kupoteza mwelekeo pamoja na kuendelea kumshikilia Lissu lakini Mahakama inaweka kumbukumbu ya kila kinachoendelea kama reference ili baada hizi zitumike kwenye maamuzi ya kesi zingine.Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kusikiliza kesi.
Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na hawawezi kuwa kila siku wanahudhuria mahakamani na kuacha kazi zao za kuwaingizia kipato .
Ni lazima lissu afahamu watanzania wanaishi kwa kujitafutia ili wapate chakula mezani pao . Sasa mtu hawezi kuacha kwenda kazi halafu aende mahakamani wakati anajua anadaiwa kodi ya nyumba ,unga umeisha ,umeme luku imekata ,bill ya maji ipo mezani pake halafu aende Sehemu ambako anajua hakuna cha nyongeza
Lissu itafika sehemu akili imkae sawa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3634120
pia mshauri mwenyekiti wako kuwa CDM haipo tayari kwa maridhianoMjibu Mwenyekiti wako kwamba kwanini umemtelekeza ?
Mkisusa sisi tunakula vyotepia mshauri mwenyekiti wako kuwa CDM haipo tayari kwa maridhiano
Umekwenda mahakamani?, unaelewa hoja iliyopo hapa au umekurupuka tuHii kesi ya leo imezaliwa baada ya ile kesi ya mchongo kupoteza mwelekeo pamoja na kuendelea kumshikilia Lissu lakini Mahakama inaweka kumbukumbu ya kila kinachoendelea kama reference ili baada hizi zitumike kwenye maamuzi ya kesi zingine.
Kwa sababu wewe ni kilaza umeamua kuwa mlamba matako huelewi kitu. Kwanza hii Kesi ilitakiwa iwe live TBC mbona Jamhuri imeogopa ?
Wakiangalia zile nywele zake wanaona wazi Jamaa hayupo sawa kichwaniviongozi wa chadema ni muhimu sana wamueleze Lisu ukweli tu,
kwamba watu hawaendi tena kumuona kwasababu wanadhani tayari ameshachanganyikiwa na kwahivyo wanaona hawana sababu ya kwenda kumtazama kichaa..
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni au nenda Gerezani ukakae na lissuNyege za kinyeoni hizo zinakusumbua.
Mtakulq nini wakati wafadhiri wenu wamesema lazima mfanye maridhiano na cdm ndiyo waendelee kuwasidiaMkisusa sisi tunakula vyote
Wewe endelea kubweteka bila kufanya kazi uone kama hujafa na njaa MwenyeweMtakulq nini wakati wafadhiri wenu wamesema lazima mfanye maridhiano na cdm ndiyo waendelee kuwasidia
Ni nani kakuzuia leo? Naona mmechoka kwenda mahakamani Mmeanza kutafuta visingizioWatu wakija mahakamani polisi wenu wanawazuia wasiingie
wewe unayebweka hapo Lumumba unaambulia nini zaidi ya Maji ya kandoro na kashata?Wewe endelea kubweteka bila kufanya kazi uone kama hujafa na njaa Mwenyewe